Video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alihutubia Bunge la Kenya na mustakabari wa uhusiano wetu

Video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alihutubia Bunge la Kenya na mustakabari wa uhusiano wetu

Kikwete ni Raisi wetu mstaafu tunampenda na alifanya yake mengi tu mazuri, pamoja na yote kunaupumbavu mwingi tu jamaa alishiriki kufanya na mwingine kuhusika moja kwa moja.

Moja ya upumbavu wake ni hiyo speech, alijuaje kwamba utawala utakao mfuatia utakuwa na misimamo kama yake licha ya kukili kuwa hapo awali kabla yake uhusiano baina ya hizi nchi mbili haukuwa mzuri kama kipindi chake? Pengine wakati huo alikuwa bado anamatumaini ya kumrithisha mtu wake hatimaye baadae mkeka ukachanika.

Kwa upande mwingine inawezekana alikuwa akiwapaka wakenya mafuta kwa mgongo wa chupa maana huyu jamaa ni ana masterly ya ku twist maneno. Ikumbukwe kuwa jamaa ni mswahili original maana haimake sense kwamba Kenya pekee ndio waonekane kama ndio wateja pekee wa mali ghafi za Tanzania.

Mwisho kabisa, sera za kikwete zilikuwa sahihi kuwashobokea wakenya maana Tanzania tulikuwa wazalishaji haswa na bidhaa ghafi huku tukitegemea industrial products kutoka Kenya, Sera ya viwanda ya Magufuri inashabihiana na ya late Kambarage Nyerere ambayo haina utegemezi mkubwa Kenya. No wonder enzi za Kambarage na Mzee Jomo hazina utofauti na hii enzi ya Dr. na Uhuruto.
Hivyo viwanda umeviona wapi?
 
Huyu Mzee aliomba ruksa kwa nani kwenda kule?
 
Siku hizi kawa "NABII" wetu sio DHAIFU tena.
Hizo akili za kuchambua hivyo huku kwenye chama chetu ziliondoka na Dr Slaa.
Ni kweli mkuu, jamaa wanaenda mbele tu huwa hawarudishi nyuma akili zao.
 
Alisema anayeweza kuharibu uhusiano na Kenya ni mpumbavu, kisha akasema wapumbavu Tanzania ni wachache kwahiyo hilo haliwezi kutokea. Tena akawahakikishia kabisa. Sasa hivi wakimuuliza sijui atajibu kitu gani!
Alisahau, katika hao wachache mmojawapo anaweza akashinda ...
 
Hujaelewa nini sasa hapo? Mpumbavu ni yule anaeharibu uhusiano wa Kenya na Tz haijalishi yupo kenya au tz!

Wewe kwa vile ulishameza rangi ya chama na kupinga unaona wanaoweza kuharibu huo uhusiano wapo tanganyika pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeisikiliza hiyo video clip vizuri? Kwa hiyo baada ya JK kustaafu Kenyatta ndiye aliyepokea uongozi wa nchi?
 
Jamani acheni kuwatukana wakenya. Mlitaka wasiwachokonoe madereva wetu puani na kufunga mipaka yao?
Siyo Wakenya wanatukanwa. Kaisikie tena clip kuanzia dak ya 1.07 utagundua mlengwa ni nani!
 
Uzuri hata JK ni sisiemu! Hivyo kupigiwa vigeregere na bavicha ni heshima kwa sisiemu...
 
Alisema anayeweza kuharibu uhusiano na Kenya ni mpumbavu, kisha akasema wapumbavu Tanzania ni wachache kwahiyo hilo haliwezi kutokea. Tena akawahakikishia kabisa. Sasa hivi wakimuuliza sijui atajibu kitu gani!
Walioharibu ni wenyewe.....msitetee ujinga.
 
Alisema anayeweza kuharibu uhusiano na Kenya ni mpumbavu, kisha akasema wapumbavu Tanzania ni wachache kwahiyo hilo haliwezi kutokea. Tena akawahakikishia kabisa. Sasa hivi wakimuuliza sijui atajibu kitu gani!
Tukienda taratibu, Kenya na Tanzania nani kaanza kutafuta ubaya kwa mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom