Video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alihutubia Bunge la Kenya na mustakabari wa uhusiano wetu

Kikwete ni Raisi wetu mstaafu tunampenda na alifanya yake mengi tu mazuri, pamoja na yote kunaupumbavu mwingi tu jamaa alishiriki kufanya na mwingine kuhusika moja kwa moja.

Moja ya upumbavu wake ni hiyo speech, alijuaje kwamba utawala utakao mfuatia utakuwa na misimamo kama yake licha ya kukili kuwa hapo awali kabla yake uhusiano baina ya hizi nchi mbili haukuwa mzuri kama kipindi chake? Pengine wakati huo alikuwa bado anamatumaini ya kumrithisha mtu wake hatimaye baadae mkeka ukachanika.

Kwa upande mwingine inawezekana alikuwa akiwapaka wakenya mafuta kwa mgongo wa chupa maana huyu jamaa ni ana masterly ya ku twist maneno. Ikumbukwe kuwa jamaa ni mswahili original maana haimake sense kwamba Kenya pekee ndio waonekane kama ndio wateja pekee wa mali ghafi za Tanzania.

Mwisho kabisa, sera za kikwete zilikuwa sahihi kuwashobokea wakenya maana Tanzania tulikuwa wazalishaji haswa na bidhaa ghafi huku tukitegemea industrial products kutoka Kenya, Sera ya viwanda ya Magufuri inashabihiana na ya late Kambarage Nyerere ambayo haina utegemezi mkubwa Kenya. No wonder enzi za Kambarage na Mzee Jomo hazina utofauti na hii enzi ya Dr. na Uhuruto.
 
Wanawashwa_washwa, samahani,ilikuwa kabla hajaondoka Barack Obama's street
 
Siku hizi kawa "NABII" wetu sio DHAIFU tena.
Hizo akili za kuchambua hivyo huku kwenye chama chetu ziliondoka na Dr Slaa.
 
MEKO HAKUNA CHAGUO LA JK

JK ALIKUA NA WATU 3
JANUARY : sa hii tungekua tunakula bata, ila hakuna barabara ingejengwa

MEMBE : mtwara ingekua newtork

MIGIRO : angekua anqshinda msoga kuomba ushauri
Embu rudia kusoma ulichoandika
 
this is one of thing which wasted president kikwete's time during the 10yrs of his presidency.
 
Sasa itabidi Kenyata arudishe Tausi wetu aliopewa zawadi kabla hakija nuka zidi.
Enzi zile za Nyerere na Kenyata waliitana manyangau mambo yalianzia hivi hivi, hatimae wakatunishiana misuli
Bado kidogo kinuke.
Hatimae Busara zilitumika , amani ikarudi baada ya Yule Mzee Kenyata kufariki na Moi kushika nchi.
 
Back
Top Bottom