Video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alihutubia Bunge la Kenya na mustakabari wa uhusiano wetu

Video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alihutubia Bunge la Kenya na mustakabari wa uhusiano wetu

azuie/asizuie mahindi atajua mwenyewe...mie nnachojua yeye ni mpumbav tu!.
Ni babako yule au mamako hajakwambiaga?

Na kwanini mbele ya wakenya unajiona jinga sana? Hii akili nani kawafundisha kwamba wakenya ni watu zaidi kuliko nyie?
 
Kwahiyo Kenya ni nchi huru ila sisi ni watawaliwa? Huu upumbavu wenu mtaacha lini?

[emoji23][emoji23][emoji23]Na kwanini hasa nyie chadema mnajiona wanyonge sana mbele ya wakenya?
Safisha kwanza nyumba yako kabla hujaona uchafu wa nyumba ya jirani. Wewe hata kuku anakushinda ubongo
 
Kwanini unajishusha sana mbele ya Wakenya?
Hata ukijipandisha kwa drone, Wakenya wamekuzidi vingi tu. Unaweza Tanzania ikawa na raslimali lakini wakuzidi akili. Angalia kati ya Kenya na Tanzania ni nani mwenye vivutio vingi vya utalii na ni nani mwenye mapato makubwa.

Wakenya ndiyo wanaongoza kwa kuwekeza Tanzania, kwa sasa wana makampuni 200 yanayofanya kazi humu. Mojawapo ni Hoteli yenu Namba 1 ya 5 Star ya Serena au Gazeti la Mwananchi

Hata ukijidanganya vipi na unaouita uzalendo Wakenya huwezi kuwakuta.

Bajeti ya Kenya ya 2019/20, ni kubwa kuliko nchi zote 5 zilizobaki za Afrika Mashariki kwa pamoja (Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na South Sudan)

Kama ubabisha endelea kubisha, Mimi naongelea kwa vile nimetembea Kenya miji 3 na nimeshiriki kwenye initiatives za East African Community
 
Kwahiyo Kenya ni nchi huru ila sisi ni watawaliwa? Huu upumbavu wenu mtaacha lini?

[emoji23][emoji23][emoji23]Na kwanini hasa nyie chadema mnajiona wanyonge sana mbele ya wakenya?
Unakosea unapodhani kila mwenye mawazo tofauti na Meko au wafuasi wa Meko ni CHADEMA. Mimi ni CCM na Nina nafasi yangu kwenye Chama ngazi ya Mkoa, Ila suwezi kuburuzwa na mawazo finyu ya Meko. Nchi Ni yetu wote
 
Meko ndio nani?
 
Sasa si ujiuzulu?
. Tena jiuzulu kwa kutangaza hadaharani sababu za kujiuzulu ili tukuona siyo linafiki
 
Wamekuzidi wewe na BAVICHA wenzio ila sio siho TZ.

Nyie endeleeni kujishusha mbele yao daima
 
Kwanini unajishusha sana mbele ya Wakenya?
Haya sasa utajuwa kama nilikuwa najishusha mbele ya Wakenya. Meko amekwenda huko huko Nairobi kutibiwa COVID 19, endelea na upumbavu wako
 
Back
Top Bottom