Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kufikiria kwa jicho la tatu: siyo kwamba bodaboda wanatoa rushwa ili wasisumbuliwe na polisi?Bodaboda mkoani Mwanza wamemzawadia Rais Samia Suluhu ng’ombe ikiwa ni shukurani zao kwa juhudi kubwa anazofanya.
📹 SwahiliTimes
Tatizo hii nchi tuna rais asiye onekana. Yaani kwenye barabara hayupo, kwenye umeme hayupo, kwenye reli hayupo, kwenye maji hayupo, kwenye sukari hayupo. Yaani haonekani popoteBodaboda mkoani Mwanza wamemzawadia Rais Samia Suluhu ng’ombe ikiwa ni shukurani zao kwa juhudi kubwa anazofanya.
📹 SwahiliTimes
chukua bodaboda mmoja muulize juhudi gani, niamini ataangua kiliokwa juhudi kubwa anazofanya.
Hivi wewe mkuu maisha ya bodaboda yalivyo unafikiri wanaweza kuchanga pesa ya kununua ngo’mbeKwa kufikiria kwa jicho la tatu: siyo kwamba bodaboda wanatoa rushwa ili wasisumbuliwe na polisi?
Huko nchi nyingine ,rais haruhusiwi kupaokea vijizawadi vinavyo weza ku compromise utendaji wake.
Rejea kilichotokea South Korea baada ya mke wa rais kupewa kibegi cha Dior kama zawadi na Mchungaji .. kunatokota hadi sasaKwa kufikiria kwa jicho la tatu: siyo kwamba bodaboda wanatoa rushwa ili wasisumbuliwe na polisi?
Huko nchi nyingine ,rais haruhusiwi kupaokea vijizawadi vinavyo weza ku compromise utendaji wake.
Huyu Mama haoni uchumi unavyo yumba kwa tatizo la umeme.Sometimes kupiga kura ni kuchoma nauli na calories..
We inabidi upewe jukumu la kumpeleka hyo ngombe kizimkazibodaboda wamejibu kwa vitendo wallah
chadema wanabaki kutoa macho kama buzi wa albadir
Na ile kauli ya Lema kwamba bodaboda wamelaani lazima tu kwenye sanduku la kura cdm walie.bodaboda wamejibu kwa vitendo wallah
chadema wanabaki kutoa macho kama buzi wa albadir