Pre GE2025 Video: Rais Samia apewa zawadi ya ng'ombe na madereva bodaboda

Pre GE2025 Video: Rais Samia apewa zawadi ya ng'ombe na madereva bodaboda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na ile kauli ya Lema kwamba bodaboda wamelaani lazima tu kwenye sanduku la kura cdm walie.
chadema wao mabishano ndio tafsiri ya demokrasia

wakiruhusiwa kubishana kama wehu ndio wananyanyuka na kusema sasa demokrasia inakua ..unabaki kujiuliza hawa ni watu wa namna gani badala ya kufanya wao wanataka mabishano uzuri watanzania wamewagundua ni wakupuuza tuh
 
Kuna viherehere vingine vya hovyo sana kwenye hii nchi, yaani wamekosa kuona wahitaji kabisa alafu wanaenda kumuongezea mwenye nacho...[emoji848][emoji848]
Hao bodaboda watakuwa hawajielewi lkn sishangai sana wasukuma kila kitu ni ndoho tabu
 
Bodaboda mkoani Mwanza wamemzawadia Rais Samia Suluhu ng’ombe ikiwa ni shukurani zao kwa juhudi kubwa anazofanya.


[emoji329] SwahiliTimes
Hii ndio tunaita "Stockholm Syndrome" You fall in love with ur oppressors! Bodavoda ni mafukara tu, hao ngombe wangechinja wakala wakapata proteins, sio kumpa MTU anayewasababishia umaskini!
Mimaskini huwa, manipulated kirahisi, kwanini hatusikii umoja wa, mainjinia, au, madokta, au, wafanyakazi, wa, voda,tigo,au, migodini, wakitoa "ngombe" Kwa samia, utasikia "waalimu wanamchukulia form samia" Na, upuuzi, mwingine
 
nafikiri hatujaelewana unafikri bodaboda wanaweza kuchanga pesa ya kununua ngo’mbe ya kumpa raisi?

Fikiria uhalisia tu bila kuweka ushabiki?
Nawe hujajibu swali, kama mtu mmoja wa boda atanunua pikipiki kwa milioni mbili, piga hesabu, boda mia moja kuchanga elfu tano tu, wana ng'ombe wa laki tano.
 
Nawe hujajibu swali, kama mtu mmoja wa boda atanunua pikipiki kwa milioni mbili, piga hesabu, boda mia moja kuchanga elfu tano tu, wana ng'ombe wa laki tano.
ukienda kutafuta bodaboda ambao ni za kwao hapo 100% utapata 2%.
TusibishNe hiyo ngo’mbe imenunuliwa na viongozi wa CCM, mimi shaendesha boda adha ya hii kazi kutoa elf5 kwa siku? Aisee haya mkuu.
 
Kuna viherehere vingine vya hovyo sana kwenye hii nchi, yaani wamekosa kuona wahitaji kabisa alafu wanaenda kumuongezea mwenye nacho...🤔🤔
Huwashangai walimu waliolipa pesa ya kuchukulia fomu wakati Wana dhiki mpaka michonyoni mwao.

Rais ndio mwenye uwezo wa kukomesha hizo tabia za kinafki ili kuondowa kuwa na Taifa lililojaa wanafki.

Nyerere aliwahi kiwaambia wanamuumiza Sana na harufu za rangi, maana kila anapokwenda anakuta jengo limepigwa rangi Kwa sababu yeye anakwenda, sasa rangi Mpya Ile harufu ikawa inamletea shida ilibidi awaambie waache huo unafki.
 
Back
Top Bottom