Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
chadema wao mabishano ndio tafsiri ya demokrasiaNa ile kauli ya Lema kwamba bodaboda wamelaani lazima tu kwenye sanduku la kura cdm walie.
ikimpendeza mama wala hilo halina ubishiWe inabidi upewe jukumu la kumpeleka hyo ngombe kizimkazi
Ova
Kama biashara ya boda isingekuwa na faida, ingekuwa imekufa kitambo.Hivi wewe mkuu maisha ya bodaboda yalivyo unafikiri wanaweza kuchanga pesa ya kununua ngo’mbe
Hizo drama watoto tu ndio wataziamini
Hao bodaboda watakuwa hawajielewi lkn sishangai sana wasukuma kila kitu ni ndoho tabuKuna viherehere vingine vya hovyo sana kwenye hii nchi, yaani wamekosa kuona wahitaji kabisa alafu wanaenda kumuongezea mwenye nacho...[emoji848][emoji848]
nafikiri hatujaelewana unafikri bodaboda wanaweza kuchanga pesa ya kununua ngo’mbe ya kumpa raisi?Kama biashara ya boda isingekuwa na faida, ingekuwa imekufa kitambo.
Ng'ombe kanunua huyo jamaa anaongea hapoNg'ombe anunue mkuu wa mkoa halafu boda boda apewe umaarufu
Hii ndio tunaita "Stockholm Syndrome" You fall in love with ur oppressors! Bodavoda ni mafukara tu, hao ngombe wangechinja wakala wakapata proteins, sio kumpa MTU anayewasababishia umaskini!Bodaboda mkoani Mwanza wamemzawadia Rais Samia Suluhu ng’ombe ikiwa ni shukurani zao kwa juhudi kubwa anazofanya.
[emoji329] SwahiliTimes
Nawe hujajibu swali, kama mtu mmoja wa boda atanunua pikipiki kwa milioni mbili, piga hesabu, boda mia moja kuchanga elfu tano tu, wana ng'ombe wa laki tano.nafikiri hatujaelewana unafikri bodaboda wanaweza kuchanga pesa ya kununua ngo’mbe ya kumpa raisi?
Fikiria uhalisia tu bila kuweka ushabiki?
ukienda kutafuta bodaboda ambao ni za kwao hapo 100% utapata 2%.Nawe hujajibu swali, kama mtu mmoja wa boda atanunua pikipiki kwa milioni mbili, piga hesabu, boda mia moja kuchanga elfu tano tu, wana ng'ombe wa laki tano.
Huwashangai walimu waliolipa pesa ya kuchukulia fomu wakati Wana dhiki mpaka michonyoni mwao.Kuna viherehere vingine vya hovyo sana kwenye hii nchi, yaani wamekosa kuona wahitaji kabisa alafu wanaenda kumuongezea mwenye nacho...🤔🤔
Watatumika kwenye campaign. Hiyo ni akiba.Ng'ombe anunue mkuu wa mkoa halafu boda boda apewe umaarufu