VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

Mapenzi hupofusha,

Huwezi ukaona hata uambiwe nini


Hapo unaona jamaa kakaa madarakani miaka miwili tu.
Pitia post zangu zote kama Kuna mahali naunga mkono kiongozi yoyote kukaa madarakani kwenye nafasi Moja ya kuchaguliwa zaidi ya miaka 10. Na hili ni ikiwemo na huyo Mbowe, na msimamo wangu huu uko wazi Kila mahali, na hata hapa jf. Mfumo wa vyama vingi wenyewe acha hiyo cdm hauna miaka 40, Sasa huo utoto wako unautoa wapi?
 
TUMEPIGWA NA KITU KIZITO SANA.
NA HAWA WALIOMCHAGUA HAWAONI HILI??????????
 
Waafrika ni mbwa kabisa!. Maiti kama hii ( Kiir) inaruhisiwaje kuwa rais?
Kama ni mkristo mkatoliki nenda kafanye kitubio kanisani kabla hujakomunika Jumapili ya wiki inayoanza leo.

Kama ni muislam tubu kwa namna unayoona inafaa. Umemkosea Mungu aliyekuumba.
 
Hadi nimejisikia aibu aise 😳
 
Hicho cheo ameomba au wamempa ili kumchora mwenzao? Basi wangempa hiyo nafasi huyo anayemsaidia hapo pembeni
 
Ndio maana Trump alisema Afrika inatakiwa inatakiwa itawaliwe tena 😀
South Sudani bado ni Nchi changa imetoka kwenye Vita siku sio nyingi na inaathiriwa na ukabila kati Makabila makuu mawili Dinka Bor na Nuer anakotoka Riek Machar.
 
Kwanini wamempa uenyekiti? Najua uwenyekiti ni wa mzunguko lakini kwa hali yake ni kama kuidhalilisha Jumuiya kuonekana kuwa ni genge la watu wasiojielewa. Wangeacha Ruto aendelee tu.
 
Chawa siku zote atapenda kunyonya damu lkn hapendi anayemnyonya damu atowe. Nafikiri umenipata, huyo yupo Kwa nguvu ya machawa wanaofaidi keki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…