Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Pitia post zangu zote kama Kuna mahali naunga mkono kiongozi yoyote kukaa madarakani kwenye nafasi Moja ya kuchaguliwa zaidi ya miaka 10. Na hili ni ikiwemo na huyo Mbowe, na msimamo wangu huu uko wazi Kila mahali, na hata hapa jf. Mfumo wa vyama vingi wenyewe acha hiyo cdm hauna miaka 40, Sasa huo utoto wako unautoa wapi?Mapenzi hupofusha,
Huwezi ukaona hata uambiwe nini
Hapo unaona jamaa kakaa madarakani miaka miwili tu.