Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimeona still not healthy well.Hiki ni nini wajameni?Afrika sijui ni njaa ya akili inasumbua mwe!
Was it necessary kwake kuwa hapo kama still not healthy well.
Sorry for himself.Mungu ibariki EAC with wisely leaders to bring changes to our regions.
Magufuli pia alikuwa hajui Kienglish kama huyu Salva Kiir tu.Huyu Rais watendaji wake watakuwa wanamchuna sana kwa mwendo huo!!!
Kama unajijua ni mgonjwa kwa nini uende mkutanoni? Si angemtuma Makamu wake!!Angepeleka muwakilishi, tumuombee, ugonjwa sio kitu cha kuzodoana.
Ni hivyo hivyo na hawa wengine. Wewe huoni mitaa yote nchini ilivyo pambwa na picha za mtu bila ya sababu zozote hapa kwetu?Huyu anayejikojolea, kinachomuweka madsrskani, ni machawa waliomzunguka
Huyu anahitaji kutolewa na mtu wake wa karibu kama Ally Bongo wa Gabon alivyotolewa na inch incharge wa Presidential Security Unit ambaye ni cousin wakeKuongea tu shida. Bado unangangania madaraka. Jeshi, bunge, baraza lake la mawaziri haliwezi kumtoa?
Hebu tufanye fact check isijekuwa wataalamu wa artificial intelligence wamefanya mambo ya ku edit.Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu.
Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya Marais wa Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Kasahau kwamba yeye anaweza kuwa wa kwanza kuwa 'corpse' kabla ya huyo 'walking corpse" anaye mzungumzia yeye.Tangulia huko peponi unionyeshe njia na nitakuja kuleta hayo mawazo huko
Asasihau waliomtukana Lowassa wamesahaulika...dunia hii tukanyage taratibuKasahau kwamba yeye anaweza kuwa wa kwanza kuwa 'corpse' kabla ya huyo 'walking corpse" anaye mzungumzia yeye.
Huyu si ni kikojoziViongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu.
Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya Marais wa Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mfano mwenyekiti wa Chadema huu ni mwaka wa 40 madarakani ila chawa wake wanampambania tu abakie madarakani.
Wengi tukilewa hadi kujinyea ndio tunajua kuwa Lubisi limeiva.Huyu si ni kikojozi
Kama HAONI VILEE SASA KWANINI ASIVAE MIWANI YA KUSOMEA
Uongozi wanaipa nchi wala sio rais
Waliompa huo uongozi wa Jumuiya ndio wananishangaza zaidi.
Huyu Rais amejikojolea hadharani wameona, ameenda Urusi akashindwa hata kuongea wameona. Bado wamempa uongozi wa jumuiya? Afrika ni kama ina laana.
Huyu si kuna video ili trend anajikojoleaViongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu.
Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya Marais wa Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.