VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

Rais unatoka nchini kwako umevaa kinga maalum ya kuzuia kojo! Ukijiuzulu mbona kula kupo pale pale? Mwisho wa siku aje ajifie kwenye kiti au anesimama maana mzee mgonjwa yule.
 
Hiki ni nini wajameni?Afrika sijui ni njaa ya akili inasumbua mwe!
Was it necessary kwake kuwa hapo kama still not healthy well.
Sorry for himself.Mungu ibariki EAC with wisely leaders to bring changes to our regions.
Hata mimi nimeona still not healthy well.
 
Huyu Rais watendaji wake watakuwa wanamchuna sana kwa mwendo huo!!!
 
Hata kule UNGA alichemsha hivi hivi. Huyu mzee apumzike tu. Na ilikuwa vipi viongozi wa EAC wakampa hiyo nafasi ilihali wanajua afya yake?

Maajabu yapo Africa.
 
Huyu anayejikojolea, kinachomuweka madsrskani, ni machawa waliomzunguka
Ni hivyo hivyo na hawa wengine. Wewe huoni mitaa yote nchini ilivyo pambwa na picha za mtu bila ya sababu zozote hapa kwetu?

Uliwahi kuona lini, kabla ya hivi karibuni hali ya namna hii hapa kwetu!

Mawaziri, wakuu wa mikoa, na wote wanaotegemea fadhira za huyu mtu mmoja, hawawezi kusema jambo lolote bila ya kutaja jina la huyo mteuzi wao.
 
Kuongea tu shida. Bado unangangania madaraka. Jeshi, bunge, baraza lake la mawaziri haliwezi kumtoa?
Huyu anahitaji kutolewa na mtu wake wa karibu kama Ally Bongo wa Gabon alivyotolewa na inch incharge wa Presidential Security Unit ambaye ni cousin wake
 
Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu.

Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya Marais wa Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Hebu tufanye fact check isijekuwa wataalamu wa artificial intelligence wamefanya mambo ya ku edit.
 
Tangulia huko peponi unionyeshe njia na nitakuja kuleta hayo mawazo huko
Kasahau kwamba yeye anaweza kuwa wa kwanza kuwa 'corpse' kabla ya huyo 'walking corpse" anaye mzungumzia yeye.
 
Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu.

Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya Marais wa Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Huyu si ni kikojozi
 
Yaani Marais wote walioachia midevu na viremba walitakiwa wafurushwe na fimbo kwenye ukumbi .mnatutia aibu mbwa nyie
 
Kichwa cha habari kirekebishwe ni Rais wa Sudan Kusini (South Sudan) siyo "Sudan".

Sudan na Sudan Kusini ni nchi mbili tofauti.

Jumuiya ya Afrika Mashariki ( EAC ) ni shirika la kiserikali linaloundwa na nchi nane katika maeneo ya Maziwa Makuu na Pembe ya Afrika katika Afrika Mashariki . Nchi wanachama ni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo , Shirikisho la Jamhuri ya Somalia , Jamhuri ya Burundi , Kenya , Rwanda , Sudan Kusini na Uganda pamoja na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Salva Kiir Mayardit , rais wa Sudan Kusini, ndiye mwenyekiti wa sasa wa EAC.

Cc: Active
 
Waliompa huo uongozi wa Jumuiya ndio wananishangaza zaidi.

Huyu Rais amejikojolea hadharani wameona, ameenda Urusi akashindwa hata kuongea wameona. Bado wamempa uongozi wa jumuiya? Afrika ni kama ina laana.
Uongozi wanaipa nchi wala sio rais
 
Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu.

Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya Marais wa Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Huyu si kuna video ili trend anajikojolea
 
Back
Top Bottom