Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Duh mbona kama umechanganya madesa vile
 
Duh wewe una uhakika gani kwamba wewe ndo upo sahihi?
Kwa sababu naweza kikuthibitishia kwamba 2pac ndiye aliyerekodi huo wimbo. Si vitu vya dhahania kama mapepo.
Nimesikiliza albamu zote za Tupac, nimekuwa nikifuatilia nyimbo zake na mambo yake. Hakuna sehemu ambayo yeye wala washkaji zake aliofanya nao huo wimbo walitumia msaada wa vitu visvyoonejana kurekodi huo winbo.
Waliingia Death row na vijana wake wakarekodi hiyo diss track. Achana na hao wapuuzi wanaoundaunda dhana za ajabu.
 
Kama vile hujaelewa hoja ya mwandishi. Mwandishi hasemi Tupac alirekodi kwa Masada wa pepo ila alikua amepandwa na pepo wakati anarekodi kwa maana alivamiwa na pepo.


Yani ni sawa na wewe ubake motto wa miaka miwili halafu mtu aseme haukuwa wewe ila ni pepo alikupanda akatumia mwili wako kufanya Ubakaji
 
Wabongo bana, mtu kapiga mziki wake huko vile anataka roporopo hawa mitandaoni wanampa na mapepo kabisa
 
Kuna kitu hujakielewa ndugu ndio maana
 
MTU maarufu akifa lazima yatokee hayo mambo ya nadharia ilimradi paparazzi wajipatie riziki.

Mfano kifo cha kanumba , Michael Jackson n.k
 
Hakuna lolote, huyu naye anatafuta kiki tu. Mashairi ya Pac yanafundishwa hadi Harvard University leo aseme ya pepo.
 
Kalpana una shangaa nini sasa?
 
Hakuna lolote, huyu naye anatafuta kiki tu. Mashairi ya Pac yanafundishwa hadi Harvard University leo aseme ya pepo.
Kauzungumzia wimbo Hit Em Up na sio nyimbo zote za Tupac. Nilicho muelewa mimi kilichomtokea Tupac kwenye wimbo Hit Em Up ni kama kilicho mtokea Petro kwenye Mathew 16:23
 
MTU maarufu akifa lazima yatokee hayo mambo ya nadharia ilimradi paparazzi wajipatie riziki.

Mfano kifo cha kanumba , Michael Jackson n.k
Tupac amekufa mwaka 1996, kitabu kimetoka mwaka 2025. Vitu viwili tofauti
 
Jamaa kalizungumzia Hilo pia but ukitazama video zake utakubaliana nae kwa asilimia nyingi sana.
Inawezekana ule mmea ndani yake una roho za kipepo za kutosha, angalia hata maisha ya vijana wa Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…