Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Tupac ndio Nani huko Dar es Salaam?

Nyau de adriz
 
Yes you are right lakini ukitazama video za huyu mwamba lazima ukubaliane nae kwa asilimia nyingi Sana. Hoja zake zinambeba Sana
Ziko nyimbo au ala za mziki Fulani Fulani zikipigwa na ukiwa "high" na "concentration" ikiwa ya juu unaweza kuhisi kama Kuna Hali si ya kawaida chumbani aidha Kuna mtu au watu wamekuzunguka au watu wanatembea sometimes hata kubadilika Kwa Hali ya hewa ghafla tu nk. Mziki au kinachohusiana nacho huwa kinagusa sana ndani na hufunua vitu sometimes visivyopaswa kufunuliwa.
 
Tufukulie hizo za nyuma
 
Bangi Zilifanya kazi na hasira na mzuka ukampanda
 
Hata mimi kwa utaalamu wangu hata huyo alietoa observation hiyo nae anamapepo.
 
Aisee, Mimi naona kuwa mtu akiwa na kipaji Fulani halafu akatumia kipaji chake Kwa kiwango cha juu sana lazima aonekane Kwa namna tofauti na watu.
Sio kipaji tu mkuu
Ukiwa lofa umetoka huko porini ukaingia mjini unanuka jasho,miaka kumi baadaye ukatoboa kwenye biashara zako,waliokuona wakati unaingia mjini watakutafutia ndugu kutoka Freemason.
 
Nyombo nzima 2Pac alijutia kwenye outro tu, tena sehemu ndogo sana alipohusisha afya binafsi ya mtu kwa kusema wazi ishu ya ugonjwa wa Sikoseli hapo tu na yeye mwenyewe alikubali kuwa alizingua.

Ila watu wengi wanafikiri 2Pac ni real gangster kumbe hamna hakuwahi kiwa real gangster yeye ni msanii tu. Na kuna interviews na lecture alizowahi kutoa kwenye vyuo, aliwaambia vijana jela ni sehemu inayopoteza ndoto na muda wa mtu, sio sehemu ya kujivunia wala kutamani kwenda.

Kitu kilichomsaidia 2Pac kwenyesanaa ni kuwa yeye alikuwa na elimu ya sanaa maana alipelekwa shule za sanaa na mama yaketangu mdogo, tofauti na wasanii wengine wengi waliojikuta kwenye mziki wakitokea mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…