ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
We Jamaa Ney alikukosea nini? Anaimbia hadhira ni wananchi mbona serikali yako inapata sana shida?
Endeleeni kumdanga mwambie akaze atauza viazi.Acha Uoga...
Kwani anaeimba ni yeye tuu? Kwa nini yeye ndio aingie kwenye mgogoro na Serikali?
Uzoefu unaonesha watu wote wenye maisha ya maonesho kama wasabii na hao wenye Ligi na Serikali mwisho wa siku Huwa wanaishiwa vibaya.