Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini

Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia

Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie

TABLE TURNS!

Nimeambatanisha videoView attachment 2741203
Natamani arudi kwenye game ana kipaji cha utunzi na ni mpangaji mzuri wa mashairi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini

Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia

Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie

TABLE TURNS!

Nimeambatanisha videoView attachment 2741203
Wabongo tupo vyedi sana kusagiana kunguni
 
Wasanii wengi usione wako kimya ukajua hawapigi shoo. Wao wanapiga mikoani huko. Uko watu wana hela na msanii mmoja au wawili tu wanajaza ukumbi sio Dar unaita wasanii 30 ndio shoo inaonekana inafana.

Week iliyopita Angela alienda Njombe nikapewa taarifa amefanya vizuri sio haba. Nishawahi panda bus moja na Young D anaenda Malinyi. Nuhu Mziwanda ndio mambo yake ayo.
Safi sana kwa mfano,kwa mwezi akapiga show tano za laki tano tano,

Si tayari ana m 2.5 bado kama ana vimiradi vingine vya kumuingizia mia mbili mbili.

Watu tujifunze kuishi maisha halisi kuliko life la kuigiza ili tu kuwaridhisha watu
 
HV ka tini white ndo kabosi kake siku hz.in mtanga mtangaliles voice
 
Kwa mtu anaejua utafutaji haoni ajabu, watu wanafirisika wanaanza upya na wanakaa sawa.
 
Back
Top Bottom