Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini

Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia

Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie

TABLE TURNS!

Nimeambatanisha videoView attachment 2741203
Wabongo bhn hamuishiwagi maneno [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini

Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia

Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie

TABLE TURNS!

Nimeambatanisha videoView attachment 2741203
Bora nifanye mwenyewe tu....
Hili ndo tokeo lake!. Hataki kula na watu
 
Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini

Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia

Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie

TABLE TURNS!

Nimeambatanisha videoView attachment 2741203
Ulimbukeni ndio unao kutesa.
Km ni mgodini ww ulitaka aanze kwenda msanii yupi ndipo yy afuate ili uridhike?
 
Bado Ney wa Mitego,aendelee tuu kuweka Ligi na Serikali wanaomsifia Leo hatowaona kwenye shida
Angeimba nyimbo za kuwasifia, haki ya nani mngekenua mpaka magego yangeonekana. Ila kwa sababu anawachana ukweli, eti mnamuombea njaa. Watu wa hovyo kabisa.

Mimi ndiyo maana ukiniambia nichague kati ya andazi na CCM, moja kwa moja nitachagua andazi. Sina tofauti na Roma Makatoliki.
 
Kuna maeneo wasanii wanadharau kufanya show lakini pana hela ni huko pori.

Hapo najua amelipwa zaidi ya milioni 1, sasa angekuwa amekaa DSM kusubiri show za Fiesta au Wasafi atalipwa hizo hela?

Akifanya shows nyingine za hivyo walau 3 atakuwa amekusanya zaidi ya mshahara wa Mkuu wa Mkoa.

Tuwaache Vijana wafanye kazi huku wakikusanya maokoto kwaajili ya familia zao na watoto wao.
 
Ilikuwa ni shoo ya msanii wa kisukuma hiyo,Anaitws KISIMA NYANDA MAJABALA,sasa,TINY WHITE,RICH WAVOKO NA MKOJANI ndo walikuwa wanasindikiza,pia mavoko aliimba kidogo tu,msimponde sana,lazima amepiga hela pale,shoo za migodini zina hela nyingi mno yani sema watu hawajui tu
Anakubalika uko balaa

1000123054.jpg
 
Back
Top Bottom