Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Alipofanya maamuzi ya kipumbavu mlimsifia haya sasa hivi mmetelekeza
Aliposepa mliona ana matatizo ila boss ndio yupo sahihi.

Mkawa mnasema kijana hana nidhamu kaona kapata fame kaota kiburi kwanini asiwe kama mwenzake "fulani".

Huyo "fulani" mliyekuwa mnamtumia kama mfano naye kasepa tena kwa skendo zile zile.
 
Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini

Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia

Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie

TABLE TURNS!

Nimeambatanisha videoView attachment 2741203
Sijawahi kumsikia hata mara moja.

Ni nani huyu Richi mavoko ?
 
Mavoko is living his life.

Hapo kwenye show anaimba kibao kilichowahi kuvuma pacha wangu, mashabiki nao ni nyomi

Naona kuna watu wanasema ni show ya laki 5, Yupo kazini sasa mlitaka asiingie mpunga? Kikubwa ni kukusanya maokoto iwe mchangani iwe porini kikubwa ni maokoto!!! Popote Kambi!! hii ndio maana halisi ya upambanaji,

Kipaji anacho ila tu ni kwamba hapa bongo wa kukuchongea ndio shida ilipo. na kiukweli usipopata connection huku unaweza ukajikuta kila siku uko palepale ila ni bora ufanye mambo yako kwa namna utavyoona inafaa zaidi kuliko kufanya kwa namna inayokua mashaka.
 
NAKAZIA!
Nafikiri si kila show inahitaji jukwaa, wasanii WA mbele wengi washapiga/wanapiga show bila jukwaa (background)

Kuhusu ela nadhani kila show ina kua na gharama yake, zipo show nyingine zinafanywa Kwa love na maokoto yanakua friendly just free au ela ya mafuta Tu .

Tatizo wabongo wengi (haters shiii) Wanaongoza Kwa Ushamba mwingi kwao kusagiana kunguni ndo wanaona Big deal '

"Maisha hayapo Ivo" .
 
Wewe unasema hivyo ukiwa wapi nyuma ya keyboard? Mwenzako huyo ana maduka yana chata la Billionaire Kid rejareja na jumla, wewe una nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini

Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia

Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie

TABLE TURNS!

Nimeambatanisha videoView attachment 2741203
Wivu tu.
 
Back
Top Bottom