Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Nafikili kwa nilivomuelewa jamaa anajaribu ku compare Mavoko wa WCB na huyu wa sasa, anazungumzia show alizokuwa akipiga na alivokuwa akisikika wakati uleMavoko ana nyumba 5 za kupangisha hapa dar, ana maduka ya jumla na rejareja. Hawezi ishiwa kirahisi.