Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

We Jamaa Ney alikukosea nini? Anaimbia hadhira ni wananchi mbona serikali yako inapata sana shida?
Acha Uoga...
Endeleeni kumdanga mwambie akaze atauza viazi.

Kwani anaeimba ni yeye tuu? Kwa nini yeye ndio aingie kwenye mgogoro na Serikali?

Uzoefu unaonesha watu wote wenye maisha ya maonesho kama wasabii na hao wenye Ligi na Serikali mwisho wa siku Huwa wanaishiwa vibaya.
 
Msanii wako Mlisho Mpoto ana ligi na serikali? Au Steve Nyerere😆😆
 
Tatizo watu tunawaangalia kwa nje ila hatujui kuhusu Maisha Yao in deep
Mavoko yupo well financially stable kuwazidi vijana wengi waomchukulia powah Ebu fatilien maduka yake ya billionaire kid muone how the guy smater is
 
Show kwenye mavumbi!
Yaani kutoka kupiga vitu vikali kama korobo, Pacha wangu! Mpaka hii kwenye mavumbi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…