Video: RPC wa Songwe ajiangalie, Wananchi wa Tunduma waangusha maombi mazito hadharani na kumshitakia Mungu

Video: RPC wa Songwe ajiangalie, Wananchi wa Tunduma waangusha maombi mazito hadharani na kumshitakia Mungu

Polis wetu wanatumiwa sana na wanasiasa kutenda yasiyo faa...iringa wanamtumia RTO kulazimisha vijana wote wa bajaji waende kwenye mikutano ya jesca mgombea ubunge.
 
Tupe idadi ya hao wanainchi, maana tulioko hapa tunduma, habari ya mjini ni simba. A. K. A silinde, sasa wewe unatuletea propaganda zenu ufipani, halafu unaisemea tunduma?

Mwakajoka wenu hana chake hapa
Ona aibu basi mkuu
 
Sina hakika bwana huyu anaelewa kilichotokea Malawi. Ngoma ikivuma sana hupasuka wapambe wamemjaza misifa na utukufu nae kaingia mzima mzima.
Atavuna anachopanda
 
Tupe idadi ya hao wanainchi, maana tulioko hapa tunduma, habari ya mjini ni simba. A. K. A silinde, sasa wewe unatuletea propaganda zenu ufipani, halafu unaisemea tunduma?

Mwakajoka wenu hana chake hapa
😂😂😂😂 upo tunduma sehemu gani ndugu?
 
Kuna kila dalili kuwa mwaka huu 2020 Mungu atatutetea WATANZANIA
KABLA YA KAMPENI KUKAMILIKA WANACCM HAWATAAMINI MATUKIO MAKUBWA NA MAZITO YATAKAYOWAKUTA;
1. Kutatokea mifarakano mikubwa kati yao

2. Watageukana na kutoa diri nyongi

3. Wakubwa watadondoka majukwaani kwa aibu

4. Wananchi watawachukia sana

5. Watashindwa kujinadi na WATAZOMEWA KILA MAHALI

6. Wasanii wataishiwa pumzi

7. Wataongea lugha za kutatanisha na kulaumiana

TUSUBIRI
Halafu kabla ya kupigwa kura wimbo wa Taifa utaimbwa
 
RPC piga kazi ,msipofuata sheria lazima mkamatwe
Omary Mahita aliyekuwa IGP ambaye rekodi yake ya ukatili haijavunjwa mpaka sasa baada tu ya kustaafu aliburuzwa kwenye mahakama ya kinondoni kwa tuhuma ya aibu ya kumjaza mimba house girl wake na kuruka matunzo , bado haijafahamika kama alibaka au walikubaliana , ccm aliyokuwa anaitumikia haikumsaidia
 
Issue kama hii ilitokea Malawi leo upinzani umeshika hatamu ma RPC wanawajibika. Tukumbuke viapo vyetu tuachane na siasa-ASKARI WOTE
Kibaya zaidi wanaapa kwa kutumia Vitabu vitakatifu huwa nawaangaliia Mungu hadhihakiwi jamani
 
Jiheshimu ndugu jf sio pori useme utajificha angalia sana ulimi usiponze kichwa
Uoga ni dhambi. Hao wanaouliwa na kusingiziwa kesi wangekuwa ni ndugu zako usinge-comment upumbavu kama huu.

Mimi sio mtu wa kutishwatishwa nipo humu tangu 2012 sijawahi kutetea uovu hata ufanywe na nani!!!
 
Iyo clip ina nini cha maana zaidi ya watu waliopagawa wakipiga kelele??!
Chadema fateni taratibu ukivunja sheria utakamatwa tu.
 
Iyo clip ina nini cha maana zaidi ya watu waliopagawa wakipiga kelele??!
Chadema fateni taratibu ukivunja sheria utakamatwa tu.
Unapata raha gani kushabikia uovu na uonevu?
Hao ni ndugu zako, usiangalie tumbo lako tu.
 
Unapata raha gani kushabikia uovu na uonevu?
Hao ni ndugu zako, usiangalie tumbo lako tu.
Chadema mlikua mstari wa mbele kudai utawala wa sheria. Sheria ikifuatwa mnaanza kulialia.
 
Back
Top Bottom