Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ungeficha upumbavu wako. Makanisani huwa wakati wa maombi watu wanaenda vyumba gani kujificha? Siku ile tunamwombea rais au huwa anapoenda kuombewa makanisani wanamficha wapi? Tuwe washabiki ila tusiache akili zetu nje ya kichwa.....
Hayo wanayoomba Hapo Ni ya kifarisayo wanaomba ili waonekane na watu kuwa wanaomba