Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

yani moyo wa baridiiiiiiiiii... kama nmekunywa barafu..
kiba hana cha kunivutia zaidi ya miziki yake..
sio mambo yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kiba ana mambo ya kijinga sana [emoji23][emoji23]
he he he basi team domo leo mmepata chakuongea humu
 
Sikuwahi kufikiria kama Sallam ni Smart kiasi hiki?!!!Leo umeniprove wrong Sallamsk..nilikuwa nakuona kama mswahili mswahili hivi kumbe sio kabisa

Mbali na umeneja ila Shule pia Ipo,kichwani uko vyema sana,heshima kwako Sallam...tungepata meneja kumi tu kama wewe,muziki wetu wa bongo ungefika mbali sana.

Halafu mwambieni Alikiba mwenyezimungu hataniwi na wala hafanyiwi mizaha!!unaswali huku mziki unalia pembeni halafu ukimaliza kuswali unaenda kukata kiuno stejini?!?!mwenyezimungu anataniwa kiasi hiki?!

Kama umeamua kumwabudu mungu,wachana na muziki kama Mzee Yusuph uende ukamsujudie Maulana!!unataka muziki fanya muziki...

Ukute ni laana hizi mungu anamlaani Alikiba maana anautani na mungu,tangu alipoanzia kuimba mpaka leo hakuna kinachoeleweka!!
 
Kasema alikuwa Backstage wakati Wizkid ana perform na wakati Chris Brown ana perform. Pia anakili kuwa kuna tamasha la AllyKIBA Nchini Kenya aliwahi kwenda Backstage na AllyKiba kumuonya. Issue ni kwann anapenda sana kwenda Backsatge hasa siku za show za AllyKiba?

Kukutana na Chris Brown saa5 za usiku hakuna dili hapo, madili ni official time. Anaweza in oneway or another akachochoea au kuhonga ma DJ.
 
Mkuu madili ya yy na Chris Brown huwezi kufanya saa 6 usiku, muda mzr ni Official time.
Anaweza kuwa anajittea tu. Ila kwann huwa anapenda kupanda jukwaani hasa siku amabazo AllyKiba ana perform, make inaonesha huko nyuma pia nchini Kenya amawahi kufanya hivyo. Na siku hizo huwa Diamond hayupo!!
 
Naona tunashindwa kuelewa tofauti ya umeneja na udalali.
 
Kuna sehemu umeona kwa picha salam akiwa jukwaani??
Mkuu naomba kuiona hyo maana ni mpya kwangu
 
Hiv mkuu unajua backstage kweli?? Dj anakaa backstage kweli?? Dah umenisononesha sanaa
Kwahiyo ww unajua kuliko anacho kieleza kwenye video yy?
A mesema stage ni wasanii na watu kama sisi tusiyo perform tunakaa Backstage, huenda siku nikitoa single ndio nitakuwa on Stage!!

Issue hapa ni kwann anapenda kupanda jukwaani mara kwa mara siku ambayo mpinzani wake ana perform? Ili hali Diamond hapa perform? Kuna uwezakano mkubwa wa yy kuchochea Bifu au hata kuonga maDJ wakati yupo Backstage.
 
Amesema alipanda na team ya wizkid, jiulize wewe why Kiba alikataa kupanda wakamsubiri for thirty minutes?? Asitafute mchawi
 
Kuna sehemu umeona kwa picha salam akiwa jukwaani??
Mkuu naomba kuiona hyo maana ni mpya kwangu
Sikiliza video usiwe unakurupuka kuandika bila kutafakari kwanza. Yy mwenyewe kasema kapanda mara 2 (Wizkid na Chris Brown) Backstage ila siyo on stage!! Huenda atakapo toa single yake atapanda on stage.

Issue hapa siyo kuwa either on stage or Backsatge. Issue hapa ni kwann anapenda sana kupanda Backstage hasa wakati mpinzani wake anapokuwa anaperform make amewahi kufanya tena Kenya!! Rushwa siyo lazima ushiriki on stage au kwa kuclick kitu. Mazingira yake yanatia shaka. Kama ni business issue huwezi fanyia mazingira hayo.
 
Video sijasikiliza nimeangalia. Halafu aliyesema issue ya kupanda jukwani ni nan kama sio wewe. Naona huo mlopongi wa msg unakuhusu wewe moja kwa moja. Wewe ndo umekurupuka. Na km backstage unajuaje km kulkua na ngazi za kupanda na kushuka
 
Amesema alipanda na team ya wizkid, jiulize wewe why Kiba alikataa kupanda wakamsubiri for thirty minutes?? Asitafute mchawi
Inawezkana Ratiba alikuwa nayo before!! Au alisense something not Good wakati tamasha linaendelea!! Afu hawa wanaowafanyia interview. Kwann wasiwalete wote 3 kwa pamoja ndio uwa interview? Huyo DJ, kaja na huyo Manager wa Diamond. Do you think watapingana?
 
Kwa hiyo katika video nzima hicho tu wewe ndicho umekinasa?!
Kwanza inatakiwa ujue kwamba sio kosa kisheria Kwa sallam kukaa nyuma ya jukwaa lolote lile..na kwa wakati wowote ule na kwamsanii yeyote yule anapopafomu..

Inaelekea Huelewi na wala hujawahi kukaa backstage ndio maana unaongea usichokijua!!Backstage kwa kiswahili cha kueleweka ni NYUMA YA JUKWAA!!Halafu ile haikuwa Show ya Alikiba,ilikuwa Show ya CB na WizKid.Alikiba alikuwa msindikizaji tu kama walivyokuwa kina Vanessa na wengineo..

Ni Cokestudio na sio tamasha..Cokestudio inafanyika ukumbini na sio uwanjani...hebu jaribu kuangalia Cokestudio uone watu wanafanyaje kazi maana unatia aibu!!

Alikiba hajawahi kuwa na show ya pekeyake halafu sallam akaenda backstage...

Muziki ni biashara...Sallam hawezi kuacha kutafuta connection na wasanii eti kisa tu Alikiba yuko jukwaani anapafomu,kwani Alikiba yeye ni nani mpaka watu wengine wasiende Backstage?!
Ataendela kumuona Sallam Backstage kila siku..
 
Video sijasikiliza nimeangalia. Halafu aliyesema issue ya kupanda jukwani ni nan kama sio wewe. Naona huo mlopongi wa msg unakuhusu wewe moja kwa moja. Wewe ndo umekurupuka. Na km backstage unajuaje km kulkua na ngazi za kupanda na kushuka
Video siyo kuangalia tu. Sijui umesoma wapi? Hata Taarifa ya Habari kuna watangazaji wa ishara ili viziwi wafahamu na kuelewa japo Picha wanaona!
 
Video siyo kuangalia tu. Sijui umesoma wapi? Hata Taarifa ya Habari kuna watangazaji wa ishara ili viziwi wafahamu na kuelewa japo Picha wanaona!
Wewe uczunguke jibu maswali hayo nlokuulza. Salam kapanda jukwaan saa ngaoi huko msa mm cjaona lete picha. Khs shule wapo kibao hawajasoma na wako mbali
 

Hujo jamaa ana fedha kiasi gani kwenda kuhonga hadi Kenya?

Chris Brown aliwasili Kenya siku ile ya show na perfomance yake illikuwa aanze saa tano usiku na saa saba usiku anaondoka kurudi US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…