Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Nimemkubali huyu Mtangazaji sasa.

hawa ndio watanzangazaji sasa mtu unaelewa kila kitu.

watangazaji wa Bongo mnapaswa kuiga vitu kama hivi.
Huwezi kumfananisha na B Dozen, Dulla, Millard ayo wala Sam missago, mkuu nazani useme kingine hyo ni kinda sana
 
Kitu gani chini ya kapeti, zaidi ya kuamini imani za kishirikina, na tatizo jingine mashabiki wa kiba wanamponza sana, wamemfanya aamini yeye ni mkali sana kuliko wote Africa, kitu ambacho sio cha kweli kabisa, eti leo anataka wizkid apande kwanza stageni, kama sio upuuzi ni nini, sifa za kina Diva zinamvimbisha kichwa, maana kipindi kizima ni anasifiwa Kiba tuu
Diva ana bifu na Diamond, kipindi chake usiku ni kumsifia kiba na kupiga nyimbo zake.
 
sallam anasema alikua na mr sande na anasema mr sande ndiyo alitoa order jamaa azimiwe mic.
connect dot
 
Ali kiba atajuta kufanya mahojiano na yule Mtangazaji. watangazaji wa Kenya hawatakagi ujinga wao wanaijua kazi yao.

Kiba ametema pumba zakeee afu wamemaliza na Sallam kauwa kila kitu sijui kiba wataenda kuclear wapi tena hiii daah
Alikiba huwa akikosea hata kula anajua Diamond kasababisha,ndio maana hapigi hatua...ukimskiliza huyu manager yeye hajaongea chochote kibaya kumhusu,lakini pia hata ukimskiliza Diamond hakuwahi kuongea chochote kibaya kumhusu kiba,yeye ndii kila sku huwa anabwabwaja tu
 
Kwa ufupi huyu Salam ndio alie tengeneza hizo figisu figisu kwa Ali kiba n nothing else.
 
Industry ya mziki hapa bongo iko mbioni kufa
Ni heri mtu alime au afanye hata biashara,za,kawaida
 
Vanessa mdee amesema leo kwenye xxl chris brown na timu yake walionekana hawakupenda mazingira ya Mombasa muda mwingi walionekana na hasira, hata yeye alipomaliza kuperform alikuwa anasubiri aone perfomance ya alikiba lakini ilitokea delay ya muda hadi anapanda wizkid na chris brown alikuwa anataka kuondoka private jet inamsubiri ndo maana wakamkatishia alikiba
 
Back
Top Bottom