Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaijua vizuri backstage?
Huwezi kumfananisha na B Dozen, Dulla, Millard ayo wala Sam missago, mkuu nazani useme kingine hyo ni kinda sanaNimemkubali huyu Mtangazaji sasa.
hawa ndio watanzangazaji sasa mtu unaelewa kila kitu.
watangazaji wa Bongo mnapaswa kuiga vitu kama hivi.
I believe ni ujanja wa mitandaoni tu ndio ulio nao. Na wa ushabiki tu.Mkuu pole sana kwa kubishana na hilo kubwa jinga linaloshedadia upupu yaan linanichefua hatar kwa uchafu linaloandika
[emoji23][emoji23]nimeliacha kwakweli,maana haelewi hatakidogo,tunakoelekea ni Mods kutunyooshaMkuu pole sana kwa kubishana na hilo kubwa jinga linaloshedadia upupu yaan linanichefua hatar kwa uchafu linaloandika
Alikiba ndio anajipaisha hivyo,na anataka ionekane hivyo!!Ali Kiba ni mkubwa kuliko wizkid?? Au waliangalia umri
Diva ana bifu na Diamond, kipindi chake usiku ni kumsifia kiba na kupiga nyimbo zake.Kitu gani chini ya kapeti, zaidi ya kuamini imani za kishirikina, na tatizo jingine mashabiki wa kiba wanamponza sana, wamemfanya aamini yeye ni mkali sana kuliko wote Africa, kitu ambacho sio cha kweli kabisa, eti leo anataka wizkid apande kwanza stageni, kama sio upuuzi ni nini, sifa za kina Diva zinamvimbisha kichwa, maana kipindi kizima ni anasifiwa Kiba tuu
Alikiba huwa akikosea hata kula anajua Diamond kasababisha,ndio maana hapigi hatua...ukimskiliza huyu manager yeye hajaongea chochote kibaya kumhusu,lakini pia hata ukimskiliza Diamond hakuwahi kuongea chochote kibaya kumhusu kiba,yeye ndii kila sku huwa anabwabwaja tuAli kiba atajuta kufanya mahojiano na yule Mtangazaji. watangazaji wa Kenya hawatakagi ujinga wao wanaijua kazi yao.
Kiba ametema pumba zakeee afu wamemaliza na Sallam kauwa kila kitu sijui kiba wataenda kuclear wapi tena hiii daah
Yeye aimbe atakubalika tu...analalamika? Anapoor management na kutaka kulazimisha level isiyo yakeKiba siyo mjinga kila siku analalamikia watu hawa tu, kuna kitu chin ya kapeti
Acha mahaba niangamize yako wew kila kitu kimeelezwa sasa unataka.uelezeweje wewI believe ni ujanja wa mitandaoni tu ndio ulio nao. Na wa ushabiki tu.
Hahahha akyamungu tena mods watatunyoosha mda sio mrefu hebu tuliache tu[emoji23][emoji23]nimeliacha kwakweli,maana haelewi hatakidogo,tunakoelekea ni Mods kutunyoosha
sallam anasema alikua na mr sande na anasema mr sande ndiyo alitoa order jamaa azimiwe mic.
connect dot