VIDEO: Sasa kama wanayajua haya kwanini ATCL, TTCL na SGR zinaendelea kutia hasara kila ripoti ya CAG?

VIDEO: Sasa kama wanayajua haya kwanini ATCL, TTCL na SGR zinaendelea kutia hasara kila ripoti ya CAG?

Johnpaulthesecond

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2024
Posts
503
Reaction score
480
Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,

Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya Ubia na Sekta binafsi.

Kama kweli hata baada ya Ubia Mali za haya Mashirika yetu zitabaki kuwa ni za kwetu kama anavyosema Bwana Kafulila kwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara kiasi hiki kila mwaka?

Hebu msikilize vizuri mtaalamu huyu Kisha njoo tuisaidie nchi yetu Itikadi za vyama tuziwekeni pembeni tujadili Taifa letu kwanza kinaga naga.

Hata hivyo kwenye hizi hasara hayupo wa kumlaumu kwa sababu Mashirika haya yameanza kupata hizi hasara tangu enzi ya awamu ya tatu ya Dkt Benjamin Mkapa mpaka Leo kwa Dkt Samia Suluhu Hassan hivyo hayupo wa kulaumiwa zaidi ya kujadili kwa pamoja namna bora ya kuzikwepa hizi hasara

+++
 
IMG-20250330-WA0483.jpg

Nani kawazuia kufanya huo Ubia?
 
Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea hivi,

Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara kwaa baadhi ya Mashirika ya Umma naona ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya Ubia.

Kama kweli baada ya Ubia Mali ya haya Mashirika yetu zitabaki kuwa za kwetu kama anavyosema Bwana Kafulila kwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara?

Msikilize vizuri mtaalamu huyu Kisha njoo tuisaidie nchi yetu Itikadi za vyma wekeni pembeni tujadili Taifa letu kwanza,

+++
View attachment 3287897
Huyu apambane kwanza na Kishoa ndio tuelewea kuwa anaweza kutatua matatizo
 
Huyu apambane kwanza na Kishoa ndio tuelewea kuwa anaweza kutatua matatizo
Ndoa ilimshinda huyo Kafulila hadi ikavunjika

 
Ndoa ilimshinda huyo Kafulila hadi ikavunjika

Sasa hii ndio hoja mkuu😂😂
 
Kafulila Akifika kwenye kuchambua hasara kea pesa za Umma magoli ya Mama kusafirisha akina mwijaku,kupeleka wasanii korea, hapo ndo tutajua kua no mzalendo wa kweli tofauti na hivyo no chawa tu anaefukuzia nyazifa
 
Ripoti ya CAG huwa ni ngonjera tu za kila mwaka bila hatua kuchukuliwa
 
Back
Top Bottom