Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 555
- 1,003
NoMnauzwaa mdogomdogo mkitoka ndotoni kwisha habari yenu,na matumaini ya kisii hasa ya hiyo pipipipi
NoMnauzwaa mdogomdogo mkitoka ndotoni kwisha habari yenu,na matumaini ya kisii hasa ya hiyo pipipipi
Binafsi siamini kwenye Ubia , Tuajiri big brain kutoka nje kwenye mashirika nyeti top level muone ,shida watanzania wezi sana ,mtu akipewa kitengo anataka shida zote za familia na ukoo wake zimalizikie pale.Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya Ubia na Sekta binafsi.
Kama kweli hata baada ya Ubia Mali za haya Mashirika yetu zitabaki kuwa ni za kwetu kama anavyosema Bwana Kafulila kwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara kiasi hiki kila mwaka?
Hebu msikilize vizuri mtaalamu huyu Kisha njoo tuisaidie nchi yetu Itikadi za vyama tuziwekeni pembeni tujadili Taifa letu kwanza kinaga naga.
Hata hivyo kwenye hizi hasara hayupo wa kumlaumu kwa sababu Mashirika haya yameanza kupata hizi hasara tangu enzi ya awamu ya tatu ya Dkt Benjamin Mkapa mpaka Leo kwa Dkt Samia Suluhu Hassan hivyo hayupo wa kulaumiwa zaidi ya kujadili kwa pamoja namna bora ya kuzikwepa hizi hasara
+++
View attachment 3287897
Hela si wanakula wewe unataka Ubia umeona kilichotokea kwa Wachina sasa hivi watu wameanza kupaza sauti sababu hela ya kupigapiga hakuna mchina kanyoosha rula wewe unatoa raba China unaiuza 70 mchina anaishusha ile ile anaiuza 20 milio inaanza kusikika maana wabongo hawawezi kwenda kununua 70 wakati kuna cha 20 na ni kile kilekwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara kiasi hiki kila mwaka?
Wachina wanazingua sana il ndio Wanachama wa ccmHela si wanakula wewe unataka Ubia umeona kilichotokea kwa Wachina sasa hivi watu wameanza kupaza sauti sababu hela ya kupigapiga hakuna mchina kanyoosha rula wewe unatoa raba China unaiuza 70 mchina anaishusha ile ile anaiuza 20 milio inaanza kusikika maana wabongo hawawezi kwenda kununua 70 wakati kuna cha 20 na ni kile kile
Ungetoa shuluhisho lako ila hii ni Wivu tu, maoni yangu lakiniView attachment 3287928
Nani kawazuia kufanya huo Ubia?
SGR yenyewe ndio inaleta faida?Ila huyu jamaa ameiva sana kwenye haka ka-PPP ila SGR hatuwezi wapa Wageni itakula kwetu
Unachanganya mambo Ndugu yangu… ppp na mambo ya hisa wapi na wapi? Kila sector Ina sheria zake . Mambo ya hisa ni tofauti na ppp, usiyachanganye…Kwa nini hatujaiona hiyo concept ya PPP ikipiga hodi kwenye soko letu la hisa? .... DSE mbona imefanikiwa kuorodhesha makampuni yaliyokuwa yakitengeneza hasara pia siku za nyuma? 🤔
Inaonyesha hamuelewi kabisa mnachofanya! ....Unachanganya mambo Ndugu yangu… ppp na mambo ya hisa wapi na wapi? Kila sector Ina sheria zake . Mambo ya hisa ni tofauti na ppp, usiyachanganye…
Unara unajengwa na haujengekiCAG Ukute nae kalewa,
Unatupa ripoti ya hasara tu,huku kafulia anasema tuko vizuri mpaka mwaka 2050.
Kumbuka ppp zipo za aina Nyingi, hebu tuambie unazungumzia ipi ambayo Ina husu hisa za uwekezaji? niko world bank na ktk kitengo hicho hicho cha ppp. Sina haja ya kusema mengi, hiyo ppp- ndio imenipa PhD na ajira hapa world bank. Acha ku- criticise watu bila kujua taalum zao na uzoefu wao wa kazi. Mapendekezo na machapisho yangu ndio hutumika na serikali Nyingi ikiwemo ya kwetu.Inaonyesha hamuelewi kabisa mnachofanya! ....
Unaweza hata kuwaza kuzungumzia PPP bila kugusia hisa za washirika kwenye uwekezaji wa pamoja? 😲
Jielimishe kwanza dhana nzima ya uwekezaji hutapungukiwa kitu mkuu.
Chapisho lako hili linathibitisha ubabaishaji mnaoufanya kurubuni Serikali zenye watendaji aidha wabadhirifu au wasiojua wanachokifanya. Hakika kama uko World Bank kweli ni hakika hiyo PPP mnayoinadi kwa nguvu ni ulaghai tu uliompata Kafulila kama mkunaji.Kumbuka ppp zipo za aina Nyingi, hebu tuambie unazungumzia ipi ambayo Ina husu hisa za uwekezaji? niko world bank na ktk kitengo hicho hicho cha ppp. Sina haja ya kusema mengi, hiyo ppp- ndio imenipa PhD na ajira hapa world bank. Acha ku- criticise watu bila kujua taalum zao na uzoefu wao wa kazi. Mapendekezo na machapisho yangu ndio hutumika na serikali Nyingi ikiwemo ya kwetu.
Soma humu labda utaijua ID yangu halisi: Public-Private Partnership Resource Center | Public Private Partnership
Acha kuchanganya madesa ndugu, rudi darasani ndugu yangu, elimu haina mwisho. Humu JF utaishia kupondwa tu.Chapisho lako hili linathibitisha ubabaishaji mnaoufanya kurubuni Serikali zenye watendaji aidha wabadhirifu au wasiojua wanachokifanya. Hakika kama uko World Bank kweli ni hakika hiyo PPP mnayoinadi kwa nguvu ni ulaghai tu uliompata Kafulila kama mkunaji.
Hebu niambie hicho kitengo cha ubia kimeibuka kutoka wapi wakati kuna Tanzania Investment Center na upande mwingine iko DSE, Taasisi ambazo zimeanzishwa kisheria mahsusi kwa ajili ya uwekeza, uwekezaji ni mtaji na mtaji unatathiminiwa kwa njia ya umiliki wa Hisa. Sasa unaishauri Serikali itafute mbia aje kuingiza mtaji wake kwenye mali ya Umma bila kuweka utaratibu wa umiliki ambao unaamuliwa na hisa? Siamini PHD Holder naweza kuja na maelezo mepesi hivi.... Nitajie mradi mmoja ambao hadi sasa uliofanikiwa kwa hiyo PPP yenu... 🤔
Kumbuka kwamba, binafsi, hii PPP siipendi na inawanyonya sana raia wa nchi maskini. Model nzuri ni kuwaajili ma experts kutoka popote pale dunianiani, na wao wanakuwa kama employees, una set targets tu za kazi na wao wana fanya kazi kama mtu mwingine yeyote. PPP ya miaka -25-30 ni unyonyaji mtupu- yaani ni kama serikali 5-6 za awamu tano tano. sasa hebu niambie, yaani serikali zote hizo hazitakuwa na wajuvi wa mambo mpaka tu-sign mikataba ya kimangungo? miaka 25-30 kweli ?Chapisho lako hili linathibitisha ubabaishaji mnaoufanya kurubuni Serikali zenye watendaji aidha wabadhirifu au wasiojua wanachokifanya. Hakika kama uko World Bank kweli ni hakika hiyo PPP mnayoinadi kwa nguvu ni ulaghai tu uliompata Kafulila kama mkunaji.
Hebu niambie hicho kitengo cha ubia kimeibuka kutoka wapi wakati kuna Tanzania Investment Center na upande mwingine iko DSE, Taasisi ambazo zimeanzishwa kisheria mahsusi kwa ajili ya uwekeza, uwekezaji ni mtaji na mtaji unatathiminiwa kwa njia ya umiliki wa Hisa. Sasa unaishauri Serikali itafute mbia aje kuingiza mtaji wake kwenye mali ya Umma bila kuweka utaratibu wa umiliki ambao unaamuliwa na hisa? Siamini PHD Holder naweza kuja na maelezo mepesi hivi.... Nitajie mradi mmoja ambao hadi sasa uliofanikiwa kwa hiyo PPP yenu... 🤔
Kwa bahati mbaya sana mimi ni mdadisi kwa asili, elimu kwangu haina mwisho na kwa hakika popote utakaponikuta najifunza kutoka kwa kila mtu kwa kila kitu. Hii ndio sababu nagundua chenga na pumba na kueleza wazi wazi kile ninachokiona hakiendi sawa.Acha kuchanganya madesa ndugu, rudi darasani ndugu yangu, elimu haina mwisho. Humu JF utaishia kupondwa tu.
Kwa Bandiko hili, unakubaliana na ninacho kisema, hawa Akina Kafulila wanapuyanga tu na kutuachia commitments za miaka na miaka.Kwa bahati mbaya sana mimi ni mdadisi kwa asili, elimu kwangu haina mwisho na kwa hakika popote utakaponikuta najifunza kutoka kwa kila mtu kwa kila kitu. Hii ndio sababu nagundua chenga na pumba na kueleza wazi wazi kile ninachokiona hakiendi sawa.
Na hapa naweka wazi tu kuwa hiyo PPPC ni mradi wa kifisadi unaoishia kwenye makaratasi tu kwa kuandika proposal na maneno ya kujinadi kwingi kama wafanyavyo wahubiri wa dini kuhusu ufalme wa mbinguni.... Tunatakiwa kuamini tu kuwa anachokifanya Kafulila na PPPC yake ni neema ijayo!
Miradi ya PPP imeshindwa hata kabla ya kuanza, angalia mwendokasi mjini Dar es salaam, una mafanikio yoyote?
Angalia ile proposal ya kujenga hoteli yenye hadhi JNIA uliishaona hata dalili za matayarishi ya ujenzi? Barabara ya kulipia kati ya Morogoro na Dar es salaam iliishaanza? Mradi wa gesi Mtwara unatunufaishaje wakati jana tu nimenunua mtungi wa gęsi kutoka nje ya nchi?.....
Mambo ni mengi Ila tujilaumu sisi wenyewe kwa kukubali kutumika kama pipi utamu.... Kama vijana wasomi wa sasa wameamua kuwa machawa tunafanyaje sasa?
Bila samahani mkuu, Majadiliano yenye mada zenye maslahi ya taifa huwa ndio uwanja wangu wa kubadilishana mawazo na mtu yeyote bila jazba. Naamini katika mjadala kama huu lazima kuna kitu utajifunza au mimi nitajifunza kutoka kwako....Kwa bahati mbaya sana, utaona kwamba kwenye mada hii hakuna wachangiaji na mada ndio imekoma kuendelea tangu jana.Mimi ni muumini wa kutumia njia nyinginezo lakini si ppp.
Pole na samahani Kama nimekukwaza
Jamaa Yuko njema mno,Ila huyu jamaa ameiva sana kwenye haka ka-PPP ila SGR hatuwezi wapa Wageni itakula kwetu
Huyu ni wakala wa bibi kijachoNimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya Ubia na Sekta binafsi.
Kama kweli hata baada ya Ubia Mali za haya Mashirika yetu zitabaki kuwa ni za kwetu kama anavyosema Bwana Kafulila kwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara kiasi hiki kila mwaka?
Hebu msikilize vizuri mtaalamu huyu Kisha njoo tuisaidie nchi yetu Itikadi za vyama tuziwekeni pembeni tujadili Taifa letu kwanza kinaga naga.
Hata hivyo kwenye hizi hasara hayupo wa kumlaumu kwa sababu Mashirika haya yameanza kupata hizi hasara tangu enzi ya awamu ya tatu ya Dkt Benjamin Mkapa mpaka Leo kwa Dkt Samia Suluhu Hassan hivyo hayupo wa kulaumiwa zaidi ya kujadili kwa pamoja namna bora ya kuzikwepa hizi hasara
+++
View attachment 3287897
Kafulila sio mtanzaniaNimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,