Johnpaulthesecond
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 503
- 480
- Thread starter
- #21
Hii mbona kila mtu ni chawa ama namna gani?Kafulila amekuwa mnafiki sana, chawa wakijinga

Huyu siyo mtaalam. Ni hawa wababaishaji wa Samia wanaojifanya ni wataalam. Kuna mpango mkubwa wa kuwapa wawekezaji kila kitu, ndiyo lengo lao. Hii ni failuire ya CCM na siyo ya watanzania wote.Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya Ubia na Sekta binafsi.
Kama kweli hata baada ya Ubia Mali za haya Mashirika yetu zitabaki kuwa ni za kwetu kama anavyosema Bwana Kafulila kwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara kiasi hiki kila mwaka?
Hebu msikilize vizuri mtaalamu huyu Kisha njoo tuisaidie nchi yetu Itikadi za vyama tuziwekeni pembeni tujadili Taifa letu kwanza kinaga naga.
Hata hivyo kwenye hizi hasara hayupo wa kumlaumu kwa sababu Mashirika haya yameanza kupata hizi hasara tangu enzi ya awamu ya tatu ya Dkt Benjamin Mkapa mpaka Leo kwa Dkt Samia Suluhu Hassan hivyo hayupo wa kulaumiwa zaidi ya kujadili kwa pamoja namna bora ya kuzikwepa hizi hasara
+++
View attachment 3287897
Hili nafikiri ni deni chechefu sasa! 😀
Napenda sana ubia, lakini sio huu wa PPP ya sheria ya PPP ya kwetu ambayo inaneemesha tu upande mmoja na serikali kuwa kapeti jekundu Kwa tajiriNimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya Ubia na Sekta binafsi.
Kama kweli hata baada ya Ubia Mali za haya Mashirika yetu zitabaki kuwa ni za kwetu kama anavyosema Bwana Kafulila kwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara kiasi hiki kila mwaka?
Hebu msikilize vizuri mtaalamu huyu Kisha njoo tuisaidie nchi yetu Itikadi za vyama tuziwekeni pembeni tujadili Taifa letu kwanza kinaga naga.
Hata hivyo kwenye hizi hasara hayupo wa kumlaumu kwa sababu Mashirika haya yameanza kupata hizi hasara tangu enzi ya awamu ya tatu ya Dkt Benjamin Mkapa mpaka Leo kwa Dkt Samia Suluhu Hassan hivyo hayupo wa kulaumiwa zaidi ya kujadili kwa pamoja namna bora ya kuzikwepa hizi hasara
+++
View attachment 3287897
Inasikitisha sanaWho cares? Madam per diem na hela kununua/kuhudumia V8 IPO hayo madeni watakuja kulipa wajukuu zenu
Unamawazo mazuri lakini hujasema Nini kifanyike?Napenda sana ubia, lakini sio huu wa PPP ya sheria ya PPP ya kwetu ambayo inaneemesha tu upande mmoja na serikali kuwa kapeti jekundu Kwa tajiri
Hasara za haya mashirika nyingi zinatokana na business model na sio uwezo Mdogo au usimamizi mdogo wa wenye dhamana
1. Reli wao shida ni uwekezaji mkubwa wa miundombinu ambao Bado haujapata full utilization yake… pesa ilo chini
2. ATCL Haina hasara - ni mfumo tu wa umiliki wa ndege, wako Adili leo kesho inasimama faida
3. TTCL Bado Haina uhuru kamili wa maamuzi na usimamizi wa mali zake - wakipewa uhuru huo utasikia faida
Huu wako ni uchocheziInashangaza sana
Solutions zote zilo hapoUnamawazo mazuri lakini hujasema Nini kifanyike?
Umeongea point sana hiiHuo utaalam au wataalam wote kwa nini wasiajiliwe na wapewe management ya kuyafanya hayo yote wanayotaka kuyafanya kwa ppp? kesi example- Mark Carney alipo ajiliwa na UK ili ku-stabilise pound wakati wa covid...
Timu ikifungwa sana - wanachobadili ni kocha basi.. huyo kocha akiimgia atajua cha kufanya- hivyp hivyo huko kwenye mashirika ya umma.
Kama issue ni technokogia- munamuweka mtaalaam wa hiyo kitu na munampa managemenyt yake, hivyo hivyo ktk kila sector.
Issue sio ppp bali ni management - wadokozi ni wengi na serikali imeshindwa kuwadhibiti, kitu ambacho private sector wanaweza maana hakuna mswalia mtume mdokozi akikamatwa huko sector binafsi.
Kila siku mnakimbilia ppp, kubalini kwamba mumeshindwa kuwadhibiti mafisadi ndio maana haya maneno ya CAG
kama hapa chini.
View attachment 3288005
Kwa maana hiyo wewe huoni maana ya PPPSolutions zote zilo hapo
1. Two walishaambiwa wawe na engines sa kutosha… ilo kuongeza biashara na revenue, rhis year wamepokea mabehewa yq mizigo mengi sana na engines meaning hasara itapungua
2. ATCL ipewe ndege
3. TTCL waachwe na nalo zao
Wewe unaungomvi binafsi na Mzee Wassira tu .CCM wanatawa nchi yetu kwa mazoea - muda mufaka ushafika wapumzike.
Mtu kama wasira ana jipya lipi ndugu zangu kama si yale yale ya toka mwaka 47
Kafulila ameiva sana kwenye uongozi kwa sasaNimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya Ubia na Sekta binafsi.
Kama kweli hata baada ya Ubia Mali za haya Mashirika yetu zitabaki kuwa ni za kwetu kama anavyosema Bwana Kafulila kwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara kiasi hiki kila mwaka?
Hebu msikilize vizuri mtaalamu huyu Kisha njoo tuisaidie nchi yetu Itikadi za vyama tuziwekeni pembeni tujadili Taifa letu kwanza kinaga naga.
Hata hivyo kwenye hizi hasara hayupo wa kumlaumu kwa sababu Mashirika haya yameanza kupata hizi hasara tangu enzi ya awamu ya tatu ya Dkt Benjamin Mkapa mpaka Leo kwa Dkt Samia Suluhu Hassan hivyo hayupo wa kulaumiwa zaidi ya kujadili kwa pamoja namna bora ya kuzikwepa hizi hasara
+++
View attachment 3287897
Kwa akili fupi huwezi elewaKwa maana hiyo wewe huoni maana ya PPP
Inasikitisha nini?Inasikitisha sana
Ya Kafulila Iko chini Sheria Kafulila hana model yoyoteKwa akili fupi huwezi elewa
Ppp has different models - ila hii ya kuwa off taker Haina maana na ndiyo tunayoitekeleza hapa
And we can see its failure, - a joint venture is a way to go
Ni model ya ppp lakini siyo ile ya kafulila
Hebu kuwe mansoma documentsYa Kafulila Iko chini Sheria Kafulila hana model yoyote
Huyu jamaa amepewa wimbo wa PPP hadi amebadilika kuwa chawa mzowefu..... Kwanini Serikali haitaki kupunguza umiliki wake kwenye mashirika yake yanayozalisha hasara kila mwaka kwa kuyaorodhesha kwenye soko la hisa? Kwa nini mashirika kama ATCL, TRC, Bandari, na mengineyo yasiuze hisa zake kwa wananchi ili wayamiliki wenyewe na kuyasimamia?Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,