VIDEO: Sasa kama wanayajua haya kwanini ATCL, TTCL na SGR zinaendelea kutia hasara kila ripoti ya CAG?

VIDEO: Sasa kama wanayajua haya kwanini ATCL, TTCL na SGR zinaendelea kutia hasara kila ripoti ya CAG?

Huo utaalam au wataalam wote kwa nini wasiajiliwe na wapewe management ya kuyafanya hayo yote wanayotaka kuyafanya kwa ppp? kesi example- Mark Carney alipo ajiliwa na UK ili ku-stabilise pound wakati wa covid...

Timu ikifungwa sana - wanachobadili ni kocha basi.. huyo kocha akiimgia atajua cha kufanya- hivyp hivyo huko kwenye mashirika ya umma.

Kama issue ni technokogia- munamuweka mtaalaam wa hiyo kitu na munampa managemenyt yake, hivyo hivyo ktk kila sector.

Issue sio ppp bali ni management - wadokozi ni wengi na serikali imeshindwa kuwadhibiti, kitu ambacho private sector wanaweza maana hakuna mswalia mtume mdokozi akikamatwa huko sector binafsi.
Kila siku mnakimbilia ppp, kubalini kwamba mumeshindwa kuwadhibiti mafisadi ndio maana haya maneno ya CAG
kama hapa chini.
View attachment 3288005

Kwa akili fupi huwezi elewa

Ppp has different models - ila hii ya kuwa off taker Haina maana na ndiyo tunayoitekeleza hapa

And we can see its failure, - a joint venture is a way to go

Ni model ya ppp lakini siyo ile ya kafulila
Kwa nini hatujaiona hiyo concept ya PPP ikipiga hodi kwenye soko letu la hisa? .... DSE mbona imefanikiwa kuorodhesha makampuni yaliyokuwa yakitengeneza hasara pia siku za nyuma? 🤔
 
Kwa nini hatujaiona hiyo concept ya PPP ikipiga hodi kwenye soko letu la hisa? .... DSE mbona imefanikiwa kuorodhesha makampuni yaliyokuwa yakitengeneza hasara pia siku za nyuma? 🤔
Swali zuri
 
Ila huyu jamaa ameiva sana kwenye haka ka-PPP ila SGR hatuwezi wapa Wageni itakula kwetu
Mnauzwaa mdogomdogo mkitoka ndotoni kwisha habari yenu,na matumaini ya kisii hasa ya hiyo pipipipi
 
Mnauzwaa mdogomdogo mkitoka ndotoni kwisha habari yenu,na matumaini ya kisii hasa ya hiyo pipipipi
Sasa kama mali iitasalia kuwa ya Serikali hapo tutakuwa tumeuzwajie hapo,

Mimi nadhani Kwa hizi hasara ni mara elfu tukayakabishi kwa Sekta binafsi hata kwa kipindi kifupi tu tuone itakavyokuwa
 
Wanatanagaza hasara ili wabinafsishe kirahisi kama kitu hakina faida hakuna mwekezaji atakubali ni wizi ndio unafanya hayo mashirika yasiendelee hakuna kingine mali ya umma inachukuliwa kama mali ya umma kweli mbona sekta binafsi zinafanya vizuri kwenye kitu hicho hicho..TTCL wapate hasara harafu Tigo wapate faida kubwa mpaka waamue kuiuza kwa sababu ya kukwepa kodi.
 
Sasa kama mali iitasalia kuwa ya Serikali hapo tutakuwa tumeuzwajie hapo,

Mimi nadhani Kwa hizi hasara ni mara elfu tukayakabishi kwa Sekta binafsi hata kwa kipindi kifupi tu tuone itakavyokuwa
Kwakuwa anatununua Mjomba sii mbaya lakini
 
CAG Ukute nae kalewa,
Unatupa ripoti ya hasara tu,huku kafulia anasema tuko vizuri mpaka mwaka 2050.
 
Mi naona ni yaleyale sound nyingi tu, kwani hiyo PPP imeanza leo? Ninachojua gavoo haijawahi kupata faida ikifanya biashara. Tusizunguke.
 
Chukulia mfano ili mtu awe mmbia wa ATCL kwanza alipie asset value + long term debt za shirika; ndio apate percentage sahihi za shirika

Kwenye kichwa chake Kafulila haya ni mambo mepesi kama tulivyogawa bandari.
 
Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,

Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya Ubia na Sekta binafsi.

Kama kweli hata baada ya Ubia Mali za haya Mashirika yetu zitabaki kuwa ni za kwetu kama anavyosema Bwana Kafulila kwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara kiasi hiki kila mwaka?

Hebu msikilize vizuri mtaalamu huyu Kisha njoo tuisaidie nchi yetu Itikadi za vyama tuziwekeni pembeni tujadili Taifa letu kwanza kinaga naga.

Hata hivyo kwenye hizi hasara hayupo wa kumlaumu kwa sababu Mashirika haya yameanza kupata hizi hasara tangu enzi ya awamu ya tatu ya Dkt Benjamin Mkapa mpaka Leo kwa Dkt Samia Suluhu Hassan hivyo hayupo wa kulaumiwa zaidi ya kujadili kwa pamoja namna bora ya kuzikwepa hizi hasara

+++
View attachment 3287897
Tatizo siyo wataalamu tu je sheria zetu zikoje?, Je wabunge huwa wanajua madhara ya sera wanazozipitisha na sheria ya hapo baadae?

Mimi ninavyo fahamu wanaopewa kuyaendesha hayo mashirika niwajinga na wapumbavu, kwa Tanzania upumbavu ni kipaji, mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini anahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data

Hitimisho hayo yote ni matokeo ya kuunda tume ya kuchunguza ufisadi nyuma ya mikamera majibu ya hizo nyuma ya pazia, (mfukoni), Kila mwaka tume zinaundwa lakini madudu yanazidi kuliko ya mwaka uliopita pia tunabunge ambalo halikuchaguliwa kihalali ambapo haliwezi kuisimamia serikali
 
SGR; Hii hata mtoto mdogo atakwambia huwezi iona faida leo wala miakab10 ijayo, mpaka iishe kunengwa yote na iridiahe gharama zilizotumika kisha ndio ianze kuingiza faida

ATCL; Hii pia bado inaleta ndege mpya kila mwaka na bado za zamani hazijamaliza madeni. Kutegemea faida chini ya niaka 10 toka ndege ya mwisho kununuliwa ni ujuha.

TTCL; kwa kiwango fulani ni hivyo hivyo lakini huku kuna kila sababu ya kupaangalia kwa umakini sana.

Kuna watendaji waovu.
 
Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,

Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya Ubia na Sekta binafsi.

Kama kweli hata baada ya Ubia Mali za haya Mashirika yetu zitabaki kuwa ni za kwetu kama anavyosema Bwana Kafulila kwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara kiasi hiki kila mwaka?

Hebu msikilize vizuri mtaalamu huyu Kisha njoo tuisaidie nchi yetu Itikadi za vyama tuziwekeni pembeni tujadili Taifa letu kwanza kinaga naga.

Hata hivyo kwenye hizi hasara hayupo wa kumlaumu kwa sababu Mashirika haya yameanza kupata hizi hasara tangu enzi ya awamu ya tatu ya Dkt Benjamin Mkapa mpaka Leo kwa Dkt Samia Suluhu Hassan hivyo hayupo wa kulaumiwa zaidi ya kujadili kwa pamoja namna bora ya kuzikwepa hizi hasara

+++
View attachment 3287897
Hakuna shirika likaendeshwa na serikali likaleta tija hata siku moja ni lazima kutafuta mbia sahihi asimamie faida kwa wote sisi wa Tanzania hatujawahi kuwa na uchungu na mali ya nchi hakuna hata shirika moja la kujivunia. SGR nilionya toka mwanzo bila kuleta shirika binafsi kuliendesha basi tegemea matokeo kama reli ya kati tutakufa kifo kile kile niamini.
 
Kafulila kwa nafasi yake ni sawa na episide moja ya ‘family guy’, “Peter Griffins” kwa bahati mbaya aliteuliwa kuwa senior manager ‘Pewterschmidt Industries’.

Salale mchango wake kwenye board meeting, boss ilibidi aingilie na kuwaambia shareholders ‘Peter Griffins! Is not paid to think on company strategy 😂😂😂
 
SGR; Hii hata mtoto mdogo atakwambia huwezi iona faida leo wala miakab10 ijayo, mpaka iishe kunengwa yote na iridiahe gharama zilizotumika kisha ndio ianze kuingiza faida

ATCL; Hii pia bado inaleta ndege mpya kila mwaka na bado za zamani hazijamaliza madeni. Kutegemea faida chini ya niaka 10 toka ndege ya mwisho kununuliwa ni ujuha.

TTCL; kwa kiwango fulani ni hivyo hivyo lakini huku kuna kila sababu ya kupaangalia kwa umakini sana.

Kuna watendaji waovu.
SGR; issue sio faida mwaka huu malengo mazuri na faida zake ni kubwa hata ikiwa miaka 30 sio shida ndio tunaanza na ni mradi mzuri, shida pekee sisi kama sisi hatuwezi kuendesha wataiba kila kitu kuna umuhimu mkubwa kuleta operator wa mradi kama airport yetu inaendeshwa na kampuni binafsi.

ATCL- Hawa wangetumia akili kidogo tu shusha bei imvute mtu kuchagua ndege badala ya usafiri mwingine badala ya kucharge laki 3 mpaka mwanza weka bei ndogo faida ndogo lakini badala ya kwenda Mwanza mfano kwa siku mara 2 labda kila 2 hours ndege inaruka na mikoa mingine kama Kigoma sijui Tabora na mingineo. Hivi sasa wanenda Dubai, India na China weka ratiba sawa vuta wasafiri wa Comoro, Malawi na nchi za jirani watumie Air Tanzania connection iwe perfect.

TTCL: Hapa ndio ujinga mkubwa unafanywa kwa makusudi au kwa bahati mbaya au ndio uwezo wetu umefikia hapo, shirika gani linategemea mishahara serikali kuu? wamekaa tu hakuna ubunifu customer care zero hawana hata nia tu ya kushindana wapo tu.
 
Back
Top Bottom