Johnpaulthesecond
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 503
- 480
Sio yule Escrow tenaKafulila amekuwa mnafiki sana, chawa wakijinga
Huyu apambane kwanza na Kishoa ndio tuelewea kuwa anaweza kutatua matatizoNimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea hivi,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara kwaa baadhi ya Mashirika ya Umma naona ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya Ubia.
Kama kweli baada ya Ubia Mali ya haya Mashirika yetu zitabaki kuwa za kwetu kama anavyosema Bwana Kafulila kwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara?
Msikilize vizuri mtaalamu huyu Kisha njoo tuisaidie nchi yetu Itikadi za vyma wekeni pembeni tujadili Taifa letu kwanza,
+++
View attachment 3287897
Ndoa ilishamshinda hadi akapelelekwa mahakamani na Kishoa kudaiwa pesa za matunzo ya mtoto hatoiHuyu apambane kwanza na Kishoa ndio tuelewea kuwa anaweza kutatua matatizo
Unalipwa kiasi gani?Huyu apambane kwanza na Kishoa ndio tuelewea kuwa anaweza kutatua matatizo
Nani anawalipaNdoa ilishamshinda hadi akapelelekwa mahakamani na Kishoa kudaiwa pesa za matunzo ya mtoto hatoi
Ndoa ilimshinda huyo Kafulila hadi ikavunjikaHuyu apambane kwanza na Kishoa ndio tuelewea kuwa anaweza kutatua matatizo
Sasa hii ndio hoja mkuu😂😂Ndoa ilimshinda huyo Kafulila hadi ikavunjika
Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa
Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa, Temeke kimeivunja rasmi ndoa kati ya wanasiasa machachari David Kafulila na Jesca Kishoa kupitia shauri la ndoa No 217 ya 2022. Ndoa hiyo iliyofungwa Aprili 22, 2014 ilivunjwa rasmi Februari 20, 2023 baada ya wanandoa hao kutengana tangu...www.jamiiforums.com
Wewe ndio KafulilaSasa hii ndio hoja mkuu😂😂
Wewe ulipwa ngapi kwa uchawa?Unalipwa kiasi gani?
Who cares? Madam per diem na hela kununua/kuhudumia V8 IPO hayo madeni watakuja kulipa wajukuu zenuWao wanavodai mapato(TRA) mpaka kero,hasara zao sasa aibu