Huo utaalam au wataalam wote kwa nini wasiajiliwe na wapewe management ya kuyafanya hayo yote wanayotaka kuyafanya kwa ppp? kesi example- Mark Carney alipo ajiliwa na UK ili ku-stabilise pound wakati wa covid...
Timu ikifungwa sana - wanachobadili ni kocha basi.. huyo kocha akiimgia atajua cha kufanya- hivyp hivyo huko kwenye mashirika ya umma.
Kama issue ni technokogia- munamuweka mtaalaam wa hiyo kitu na munampa managemenyt yake, hivyo hivyo ktk kila sector.
Issue sio ppp bali ni management - wadokozi ni wengi na serikali imeshindwa kuwadhibiti, kitu ambacho private sector wanaweza maana hakuna mswalia mtume mdokozi akikamatwa huko sector binafsi.
Kila siku mnakimbilia ppp, kubalini kwamba mumeshindwa kuwadhibiti mafisadi ndio maana haya maneno ya CAG
kama hapa chini.
View attachment 3288005
Kwa nini hatujaiona hiyo concept ya PPP ikipiga hodi kwenye soko letu la hisa? .... DSE mbona imefanikiwa kuorodhesha makampuni yaliyokuwa yakitengeneza hasara pia siku za nyuma? 🤔Kwa akili fupi huwezi elewa
Ppp has different models - ila hii ya kuwa off taker Haina maana na ndiyo tunayoitekeleza hapa
And we can see its failure, - a joint venture is a way to go
Ni model ya ppp lakini siyo ile ya kafulila
Swali zuriKwa nini hatujaiona hiyo concept ya PPP ikipiga hodi kwenye soko letu la hisa? .... DSE mbona imefanikiwa kuorodhesha makampuni yaliyokuwa yakitengeneza hasara pia siku za nyuma? 🤔
Documents zipi hizo mkuu?Hebu kuwe mansoma documents
Sio mnaongea tu
Hizi fedha zitarudi lini?
Sheria,sera, miongozo ya pppDocuments zipi hizo mkuu?
Mnauzwaa mdogomdogo mkitoka ndotoni kwisha habari yenu,na matumaini ya kisii hasa ya hiyo pipipipiIla huyu jamaa ameiva sana kwenye haka ka-PPP ila SGR hatuwezi wapa Wageni itakula kwetu
Huo ndio Ukweli wenyeweHii mbona kila mtu ni chawa ama namna gani?
Sasa kama mali iitasalia kuwa ya Serikali hapo tutakuwa tumeuzwajie hapo,Mnauzwaa mdogomdogo mkitoka ndotoni kwisha habari yenu,na matumaini ya kisii hasa ya hiyo pipipipi
Kwakuwa anatununua Mjomba sii mbaya lakiniSasa kama mali iitasalia kuwa ya Serikali hapo tutakuwa tumeuzwajie hapo,
Mimi nadhani Kwa hizi hasara ni mara elfu tukayakabishi kwa Sekta binafsi hata kwa kipindi kifupi tu tuone itakavyokuwa
Tatizo siyo wataalamu tu je sheria zetu zikoje?, Je wabunge huwa wanajua madhara ya sera wanazozipitisha na sheria ya hapo baadae?Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya Ubia na Sekta binafsi.
Kama kweli hata baada ya Ubia Mali za haya Mashirika yetu zitabaki kuwa ni za kwetu kama anavyosema Bwana Kafulila kwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara kiasi hiki kila mwaka?
Hebu msikilize vizuri mtaalamu huyu Kisha njoo tuisaidie nchi yetu Itikadi za vyama tuziwekeni pembeni tujadili Taifa letu kwanza kinaga naga.
Hata hivyo kwenye hizi hasara hayupo wa kumlaumu kwa sababu Mashirika haya yameanza kupata hizi hasara tangu enzi ya awamu ya tatu ya Dkt Benjamin Mkapa mpaka Leo kwa Dkt Samia Suluhu Hassan hivyo hayupo wa kulaumiwa zaidi ya kujadili kwa pamoja namna bora ya kuzikwepa hizi hasara
+++
View attachment 3287897
Hakuna shirika likaendeshwa na serikali likaleta tija hata siku moja ni lazima kutafuta mbia sahihi asimamie faida kwa wote sisi wa Tanzania hatujawahi kuwa na uchungu na mali ya nchi hakuna hata shirika moja la kujivunia. SGR nilionya toka mwanzo bila kuleta shirika binafsi kuliendesha basi tegemea matokeo kama reli ya kati tutakufa kifo kile kile niamini.Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya Ubia na Sekta binafsi.
Kama kweli hata baada ya Ubia Mali za haya Mashirika yetu zitabaki kuwa ni za kwetu kama anavyosema Bwana Kafulila kwanini basi haya Mashirika yaendelee kuingiza hasara kiasi hiki kila mwaka?
Hebu msikilize vizuri mtaalamu huyu Kisha njoo tuisaidie nchi yetu Itikadi za vyama tuziwekeni pembeni tujadili Taifa letu kwanza kinaga naga.
Hata hivyo kwenye hizi hasara hayupo wa kumlaumu kwa sababu Mashirika haya yameanza kupata hizi hasara tangu enzi ya awamu ya tatu ya Dkt Benjamin Mkapa mpaka Leo kwa Dkt Samia Suluhu Hassan hivyo hayupo wa kulaumiwa zaidi ya kujadili kwa pamoja namna bora ya kuzikwepa hizi hasara
+++
View attachment 3287897
SGR; issue sio faida mwaka huu malengo mazuri na faida zake ni kubwa hata ikiwa miaka 30 sio shida ndio tunaanza na ni mradi mzuri, shida pekee sisi kama sisi hatuwezi kuendesha wataiba kila kitu kuna umuhimu mkubwa kuleta operator wa mradi kama airport yetu inaendeshwa na kampuni binafsi.SGR; Hii hata mtoto mdogo atakwambia huwezi iona faida leo wala miakab10 ijayo, mpaka iishe kunengwa yote na iridiahe gharama zilizotumika kisha ndio ianze kuingiza faida
ATCL; Hii pia bado inaleta ndege mpya kila mwaka na bado za zamani hazijamaliza madeni. Kutegemea faida chini ya niaka 10 toka ndege ya mwisho kununuliwa ni ujuha.
TTCL; kwa kiwango fulani ni hivyo hivyo lakini huku kuna kila sababu ya kupaangalia kwa umakini sana.
Kuna watendaji waovu.