Kweli kesho yetu hatuijui, tuishi kwa kutenda haki,Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Mama'e zake ndiyo maana wamempasua kumbe ana upuuzi mwingi kiasi hiki.Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Yuko sooo animated. Wale mabikra 72 wanayo kazi huko aliko. Good riddance! 🐖🐖🐖Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Hivi hawa watu mbona wanakuwa na kipaji cha kuongea kwa haraka haraka sana kama mashine? Huyu na yule Haji Manara utadhani ni ndugu. Maneno meengi japo kwa mtu mwenye uelewa unaona kabisa ni porojo zisizo na mantiki yoyote.angalia vimikono vyake, viganja vidoogo kama mwanamke, lkn mdomo sasa …
Ikiwemo Tiktokuu, facebukuu, youtubuuVideo ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Nasikia alipata mshituko wa moyo siyo risasi.Hivi huyo aliyemfyatulia risasi hakujua kuwa yule ni sheikh majini? Au mfyatua risasi alikuwa ni mgeni toka nje na hajui watu maarufu wa nchi hii? Unamfyatuliaje risasi sheikh kindezi vile?