Kwa kiapo cha Jeshi, askari wanamtii CDF. Yaani CDF akisema chochote, hawamsikilizi Rais.Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana.
Asikwambie mtu, hadi mtumishi wa ndani ya jeshi amefikia kuandamana ujue yamemfika shingoni kweli kweli. Siyo lelemama kama wengine wanavyodhani.
Any way muda utasema ila huenda CDF kwa hili ameficha jambo zito sana na upo uwezekano mkubwa kuwa hawa vijana walichoshwa kupita kiasi tena sana.
View attachment 1755335
Ndio kwa mujibu wa viapo vya askari.
Wengi hawajui hili!!!Jeshi ni utii
Jeshi ni heshima...
Unasema kweli au uko one sided? Amiri Jeshi Mkuu na CDF nani ana kauli ya mwisho kama kuna sintofahamu yoyote?Kwa kiapo cha Jeshi, askari wanamtii CDF. Yaani CDF akisema chochote, hawamsikilizi Rais.
Sasa hao wamefukuzwa na CDF mwenyewe, hivyo hata amri ya Rais haina nguvu.
Mkuu hilo suala ni kwa mujibu wa wanajeshi wenyewe.Unasema kweli au uko one sided? Amiri Jeshi kuu na CDF nani ana kauli ya mwisho kama kuna sintofahamu yoyote?
Nadhani katika day to day activites/duties of wanajeshi. Linapokuja suala kuwa kuna mtanziko fulani, AJM na CDF .......anyway sijuiMkuu hilo suala ni kwa mujibu wa wanajeshi wenyewe.
Kwamba wao wanamtii na kumsikiliza CDF.
Kumbuka Rais ni Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama so husimlinganishe kabisa na huyu bwana mdogo CDF ambae boss wake ni Katibu Mkuu Wizara ya UlinziKwa kiapo cha Jeshi, askari wanamtii CDF. Yaani CDF akisema chochote, hawamsikilizi Rais.
Sasa hao wamefukuzwa na CDF mwenyewe, hivyo hata amri ya Rais haina nguvu.