Acha uongo wewe!! nani anatea CDF?Kwa kiapo cha Jeshi, askari wanamtii CDF. Yaani CDF akisema chochote, hawamsikilizi Rais.
Sasa hao wamefukuzwa na CDF mwenyewe, hivyo hata amri ya Rais haina nguvu.
Huyo hakua binadamu, alikua kiumbe kingine katiliMzee binadamu hana mzoga.
Chunga maneno YAKO.
Huyo hakua binadamu, alikua kiumbe kingine katili
Usiamini sana alichokuwa anakisema jiwe muda mwingine alikuwa anajiropokea tu maneno yanayomjia akilini ili watu wampigie makofi na kumshangilia lakini sio kwamba alivyokuwa anavihaidi alikuwa amevikusudia hata kwenye elimu alisema ataajiri walimu 13 elfu kilichofuata baada ya hapo ni ajira elfu 8 tu ndizo zilitoka zingine zikapotea katika mazingira ya kutatanisha
Magufuli aliviingilia sana kiutendaji vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama.
Wewe pimbi hujui hata jeshi ni nini wala linaendeshwa vipi.Unataka kusema Nini. Hivi unajua wewe magaidi walivyokuwa wametapakaa vor 2015. huwa mnaongea ujinga ujinga tu. Mpeni sifa mtu pale anapostahili na hukumu pale ambapo hata wewe mtoaji utaona una haki ya kusema. Ugaidi. Ujambazi ulipungua sana. Kumbuka Pia hao Ni binadamu kama wewe mwizi wa kuku.
Ila sio vizuri .
Wosia wa marehemu UFUATWE.
kuna wakati MTU anajitafutia laana mwenyewe.
Mtamuudhi marehemu mjue.
Na hao vijana wamekosa nidhamu jeshini ni sir yes sir hakuna kuhoji na hao 800 walioandamana kuna vijana wengine kwenye hilo kundi wamebaki kwakuwa wao walijutenga wakabaki mabwenini rollcall ikapitishwa ambaao hawakuwa bwenini wote wakapelekwa msata kwa kulainishwa mpaka wakajua kosa lao hivyo wamerudi wapole wale ambao hawajaandamana wamebakizwa wakisubiri utaratibu mwingine waliofukuzwa wameshindwa mtihani wangekuwa tayari jeshini wangefungwa kijeshi
Wewe ni mpumbavu kweli. CDF mbele ya Rais ni kama mbw.a tu. Huijui katiba ya Tanzania.Kwa kiapo cha Jeshi, askari wanamtii CDF. Yaani CDF akisema chochote, hawamsikilizi Rais.
Sasa hao wamefukuzwa na CDF mwenyewe, hivyo hata amri ya Rais haina nguvu.
"Ukishamaliza hilo jengo, usiwapeleke kwingine, baada ya miezi miwili waajiri..." Jengo halijaisha. Unapangiwa jikumu jingine unagoma. Unagoma asikari uliyeapa "nitakuwa mtii kwa Rais, viongozi wangu na nitakuwa tayari kupokea amri yoyote itakayotolewa na kutekeleza jukumu lolote nitakalopangiwa" Unagoma ktk taasisi yaa utii wa Amri. Hata ungeajiriwa hatimae ungetimuliwa tu.Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana....
uko sahihiHao misukule wanyea mdomoni watakuchosha tu.. mzimu wa JPM unawatafuna kila uchao ndo maana wanahara kila wakisikia jinale.
Bado hata kama.
Binadamu hana mzoga ana MAITI.Hilo neno NI zito Sanaa.
CDF na amiri jeshi mkuu Nani mkubwa?
Nani mwanajeshi namba 1?.
Nimeisoma na kuisomaga, lakini sijaona popote pale Magu akisema waandamane hadi Ikulu. Wewe umeona kamanda?Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana...
Bandiko lako linaonyesha una emotion na stress kali kuondokewa na mtakatifu jiwe ikiwa bado unamhitaji ila kwa bahati mbaya shetani amewahi kumchukua mja wake kusudi akatumikie adhabu yake ya moto wa jehanamu mapema. Pole sana mkuuKatika yote unayoweza kumtukana marehemu sio kuhusu misimamo na maneno yake. Iwe kwa Wema au ubaya. Na Sijui kwanini wanadamu kama nyie mnajifanya kumjua mtu kuliko hata yeye na watu Wake wa karibu sana na waliokutana naye wanavyomjua...
Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana..
Alikuwa anaongea kufurahisha baraza tuUsiamini sana alichokuwa anakisema jiwe muda mwingine alikuwa anajiropokea tu maneno yanayomjia akilini ili watu wampigie makofi na kumshangilia lakini sio kwamba alivyokuwa anavihaidi alikuwa amevikusudia hata kwenye elimu alisema ataajiri walimu 13 elfu kilichofuata baada ya hapo ni ajira elfu 8 tu ndizo zilitoka zingine zikapotea katika mazingira ya kutatanisha
Wamekiuka kiapo cha jeshi,huwezi enda vitani na wanajeshi wanaogoma maelekezo ya wakubwa wao