Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Mshauri wao huruma sana.Lazima wakaweke ushahidi na rekodi sawa. Timu Iko uwanjani.
Imeahirishwa wapi! Instagram?Uongozi wa Yanga nao wako very unprofessional. Wanapelekaje timu wakati mechi imeahirishwa? ili iweje? Wachukuliwe hatua..
😀😀😀 mnaogopa vibabu?Sisi timu tunaipeleka Taifa, kisa cha kuahirisha mechi ni ujinga wa watu wanaoamini nguvu za giza. Jana hakuna wachezaji walioenda kufanya mazoezi usiku. Kwenye basi mlijaza vibabu kibao, kondoo na mbuzi. Mlitaka mkapike supu mule ndani?
Acheni uchawi wenu, kinachowafanya leo msilete timu, ni hiko makafara yenu hayakufanyika hovyo kabisa. Na mna bahati nyie, leo mngeokota mipira wavuni, mpaka mngekimbia uwanjani. Zile 5 ingekuwa mara mbili simbilisi nyie, mmetukosesha uhondo.
Kuzuiwa kuingia uwanjani ndio kugomea mechi? Wacha wakamilishe protocol inavyosema alafu tuje tuone mechi iliyoahirishwa itachezwa na nani!Wameruhusiwa vipi kupita na msafara wao kwenye geti wakati bodi na TFF wameshatoa taarifa kuwa mechi hakuna. Halafu unamsikia chura mmoja anasema hawahusiki na kuwazuia Simba kuingia uwanjani siku ya jana.
Matapeli wakubwa. Hapo mnatafuta chaka la kufinyia kwa ndani viingilio vya watu. Halafu mlivyo wanafki kuna mtakaojidai ni wafia dini na mmefunga. Uhuni mtupu.Yanga hawajapata barua halafu ofisi haifanyi kazi kupitia Instagram.
Nyie mmegoma endeleeni na mgomo wenu sisi tumeamua kwenda uwanjani kwani leo tuna mechi. Uwanja ule unalipiwa na Yanga sababu ndiye mwenyeji.
Vilijazana kwenye basi, hatuviogopi wao huwa wanasema ubaya ubwela? Imewarudia. Hawatotusahau kamwe, tumewawekea nazi kwenye supu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀 mnaogopa vibabu?
Gentleman!Mambo ya Kijinga sana, TFF na Bodi ya Ligi inapaswa kuondoka yote, Unaahirisha mchezo kwa sababu ipi ya msingi? Gharama za mchezo na fidia inakuwaje? Boashara utd na JKT Queens kwanini michezo haikuahirishwa na kupangiwa siku nyingine badala yake mkawaonea kuwakata alama??
Hatutaki mechi ichezwe tena siyo tu kuahirishwa. Ni muda wa kutokomeza uhuni katika ligi yetu. Kidogo kidogo ngoja tupimane makali.Kuzuiwa kuingia uwanjani ndio kugomea mechi? Wacha wakamilishe protocol inavyosema alafu tuje tuone mechi iliyoahirishwa itachezwa na nani!
Una uhakika gani kama Yanga walipelekewa barua ya kuhairishwa kwa hiyo match?Uongozi wa Yanga nao wako very unprofessional. Wanapelekaje timu wakati mechi imeahirishwa? ili iweje? Wachukuliwe hatua..
Imeahirishwa, ni taarifa rasmi kutoka Bodi. Hata sisi huku Kitulo Makete tumepata taarifa saa 8. Haijalishi kama taarifa ziko Instagram Facebook au kokote.Imeahirishwa wapi! Instagram?
Sababu za kuahirishwa ni zipi? Tulikubaliana kuahirisha au mlikaa pande mbili mkakubaliana kuahirisha. Bofi ya ligi hamna kitu mule
Wenye uwanja wanatudai lazima tuutumie, sisi ndio tulio ulipia.Matapeli wakubwa. Hapo mnatafuta chaka la kufinyia kwa ndani viingilio vya watu. Halafu mlivyo wanafki kuna mtakaojidai ni wafia dini na mmefunga. Uhuni mtupu.
Unaendelea na mechi ipi wakati timu pinzani, waamuzi na wasimamizi wa mchezo wote hawapo uwanjani. Nilishasema msimu huu baada ya kuona hamna chenu mmeamua kuwa drama queens.Wenye uwanja wanatudai lazima tuutumie, sisi ndio tulio ulipia.
Halafu unaumia nini sisi kwenda uwanjani,wakati wewe umechagua kugoma, wewe endelea na mgomo sisi tunaendelea na mechi.
Yaan sasa ndo nimecheka tangu niamkeWacheze na mabaunsa wao sasa
Drama queen nyie,huko CAF huko uarabuni mara kibao timu zinazuiwa kutumia uwanja baada ya mechi, ila siku husika mechi inachezwa then maamuzi ya CAF yanafanyika baada kupitia ripoti ya mechi husika.Unaendelea na mechi ipi wakati timu pinzani, waamuzi na wasimamizi wa mchezo wote hawapo uwanjani. Nilishasema msimu huu baada ya kuona hamna chenu mmeamua kuwa drama queens.