Video: Timu ya Yanga tayari imewasili uwanjani Mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa

Ahsante sana Mkuu, umesema ukweli ulio wazi. Yaani sina cha kuongeza. Umeongea bila ushabiki, kongole 👏👏👏👏👏 Tjedi
 
Uzuri tukicheza na Bodi ya Ligi tuna uhakika wa pointi 3 na magoli ma3 toka mezani kwa Bodi. Ninyi chezeni na mabaunsa wenu mrudi kupiga utopolo matopeni. Hakuna mtakachopata.
Mkuu yaani ni raha tupu... sisi tunamsikiliza bodi ya ligi, hyo tarehe tutaenda kukitwanga yanga asipokuja tunaokota points tatu tunatulia zetu... mechi ya kweli ni ile inayopangwa na bodi ya ligi sasa yule anayecheza leo acha acheze tu...
 
Wacheze sasa na makomandoo wao waliowatuma kuifanyia Simba fujo jana.
 
Bangi wanavuta wale waliompigia manzoki makofi kwenye mkutano,,kasome barua ya bodi ya ligi mlimpa nani taarifa ya kwamba mnaenda kwenye mazoezi?
Acha kulialia we chura, mechi hakuna leo. Period.

Kwa Hisani ya TFF Bodi ya Ligi.
 
Wanajiaibisha na zaidi wanawadharau sana bodi ya ligi na tff..na Hilo liko wazi hata kupitia msemaji wao hua ana Kauli chafu ...hata kwa kilichotokea Jana sijashangaa mana ndio kazi ya timu yenye wahuni.
Acha watu na wao waende fifa huyu ataenda tff huyu ataenda fifa acha tujionee......kiufupi Yanga wanajua wanachokifanya ndo maana hawajajisumbua na tff....
Na wao wamefata kanuni kama jana simba alivyosema anafata kanuni....kesi ya simba itaishia tff na watu watalimwa fine tu ila ya fifa kama Yanga wakieleweka hapo kuna point za mezani na magoli yao......hapo kila mtu na dua zake
 
Mechi hakuna leo

Kwa Hisani ya Bodi
 
Acheni ukilaza nyie. Ndio maana mnalipa mamilioni kila uchao kuvunja mikataba ya wachezaji bila kufuata kanuni.

Toka lini FIFA ikasimamia ligi za nchi. Kuna kanuni za uendeshaji zinasimamiwa na Bodi au chama cha soka kila nchi na ndizo klabu zinakubaliana kabla ya ligi kuanza.

Kwa ukilaza wenu mnadhani FIFA itawapa pointi 3 na magoli ma3.

Mtafuteni mzee Kikwete awashauri maana naona mnashauriana upupu tu
 
Acheni ukilaza nyie. Ndio maana mnalipa mamilioni kila uchao kuvunja mikataba ya wachezaji bila kufuata kanuni.

Toka lini FIFA ikasimamia ligi za nchi. Kuna kanuni za uendeshaji zinasimamiwa na Bodi au chama cha soka kila nchi na ndizo klabu zinakubaliana kabla ya ligi kuanza.

Kwa ukilaza wenu mnadhani FIFA itawapa pointi 3 na magoli ma3.

Mtafuteni mzee Kikwete awashauri maana naona mnashauriana upupu tu
 
Kwa hiyo ninyi waganga ramli ziliwaoneshasha hivyo sio.
 
Wenye uwanja wanatudai lazima tuutumie, sisi ndio tulio ulipia.

Halafu unaumia nini sisi kwenda uwanjani,wakati wewe umechagua kugoma, wewe endelea na mgomo sisi tunaendelea na mechi.
KUMBE UWANJA SIO WENU,NDO UMENIJULISHA HAPA.SASA NA NINYI KWANINI MNAKUWA HIVYO.CHAMAZI MLISUSA MWAKA HUU TUTAMJUA MCHAW NA MGANGA.
 
KUMBE UWANJA SIO WENU,NDO UMENIJULISHA HAPA.SASA NA NINYI KWANINI MNAKUWA HIVYO.CHAMAZI MLISUSA MWAKA HUU TUTAMJUA MCHAW NA MGANGA.
Uwanja tumeulipia kwa nini tusiutumie.

Halafu unajua kumbe uwanja sio wetu ni wa serikali ,mbona jana ulikuja bila kuwa taarifu kwenye uwanja wa watu,meneja mwenye funguo kawambia hana taarifa mkasusa au mlizani uwanja wa TFF.

Kwani leo tumesusa, sisi hatususagi kwani hata round ya kwanza TFF pamoja nyie walituzuia ,ila tulicheza mechi tulicheza na tukakugonga.
 
Ndo mcheze hatuchezi na malaya wa kuvamia shughuli za wengine.
 
Yanga wakigomea maamuzi ya TFF kukata rufaa haishindikani na wao sheria wanazijua kwa hili swala la Yanga halitaishia TFF,,,Kwani itakua mara ya kwanza mambo kama hayo kutokea? Hao wa huko juu ndo wakitoa maamuzi ya mwisho hamna pa kukimbilia tena....hapo Yanga anaenda vizuri CAS kupatiwa ufumbuzi wa ishu yake...ndo maana leo na yeye kafata Kanuni.....watu EPL tu wanaenda level za juu na chama cha nchi yao kinakubali maamuzi sembuse TFF.......Yanga hapo ataambulia tu faini ya tumilioni kadhaa kesi imeisha ila upande wao ndo pana shidooo
Watu wanapindua hadi maamuzi ya UEFA sembuse tff
Kikubwa kanuni tu watu wanacheza nazo kama kuna upenyo unapindua maamuzi
 
Ndo mcheze hatuchezi na malaya wa kuvamia shughuli za wengine.
Sasa nani kawambia tutacheza na nyie ,tumaliza meche yetu jana tunaendelea na fixture nyingine na Wagosi wee endelea Kususa, si wanaume hatususi kwani hizo Drama za watoto wakike.
 
kama waliuokodi wana haki nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…