Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

We BWE.GE hayo mashtaka mbona siyo ambayo yaliyoko huko Mahakamani? Jinga kabisa, wewe ndio Polepole wa CCM? Pumbavu
 
You are a disgrace to your fellow human beings, wazungu maadui? bona hata bajeti ya tz hamuwezi ifadhili mpaka muombe hao wazungu msaada? hata condom munaomba husaidiwe nazo, magufuli ametukana wangapi, na lini na wapi kabendera katukana magufuli, lakini sikulaumu, ni vile wazazi wako hawakuona umuhimu wa kukupeleka shule ndio angalau uwe na akili na sio FERMENTED PORRIDGE in your head
 
Achana na hao wapumbavu...watetezi wa Adolf Hitler walikuwa zaidi ya takataka hizi unazozishuhudia humu ndani lakini siku ya siku ilipofika kila moja wao alitafuta nchi ya kukimbilia kujificha. Na hata huko walikokimbilia hawakuweza kubaki salama, waliwindwa kama nguchiro na moja moja waliendelea kukamatwa hadi wakiwa wazee hawajiwezi.
 
Dont do the crime unless you are willingly to take the risk and the full consequences of it

Yy amefanya uhalifu na hayo ndio matokeo yake atulize mtori tu jela achunge tu wasimfungue kitabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: UCD
Kwani anashitakiwa kwa kutakatisha fedha ama kuandika makala dhidi ya Magu? Halafu Magu ana mamlaka ya kusamehe watu ambao kesi zao bado zinaendelea mahakamani?
Yaani hujui kuwa kuna sheria inayohusiana na Plea Bargaining??!!
 
Anakula alichopanda,yeye aliona amefuma deal ya kutokea kimaisha akisaidiwa na kina Zitto ambao ndio mfumo wao wa maisha.

Sasa mtu makini,kwa akili yako bila uoga unaamua kumtukana rais wa nchi yako ili upate ujira toka kwa mzungu,eti kisa ni haki ya kujieleza?

Kazi kwake!
Pesa alikuwa akitumia kwa manufaa yake na hiyo ndio wazungu wanaita Consequences!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa nchi nyingine hadi mda huu ungekuta walisha mpasua ubongo, hawa ndiyo wanao chochea vurungu na mwisho yanatokea machafuko

Huyu hatoki Leo wala kesho huko jela. Na bado watamzungusha na kesi yake hadi Magufuli atoke madarakani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah Mkuu umepuyanga Sana
 
Hawa wazungu wakisha kutumia hutawaona tena wakati huo wanaplan mission nyingine huku mkipambana na mitutu wenyewe kwa wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We BWE.GE hayo mashtaka mbona siyo ambayo yaliyoko huko Mahakamani? Jinga kabisa, wewe ndio Polepole wa CCM? Pumbavu
[emoji23][emoji23][emoji23] Utatukana sana huyu walikuwa wamle kichwa, huwezi kumtukana rais wa nchi halafu ubaki salama yaani... Jamal Khashogy alitukana sana nchi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Kabendera ndiyo ameshaanza kuvuna alichopanda juzi kafiwa na mama yake kwa kukosa huduma sasa wao waliokuwa wanamtuma mbona hawakumsaidia mama yake? Muache anyooshwe ili ajifunze!
 
Wazungu ni "maadui zenu."

Hujui kutofautisha 'nchi' na 'mtu'. Kiufupi wewe ujinga unakubabili. Jibidishe kuuondoa ujinga.

Ulivyoandika hapa inaonyesha huna uelewa (not informed).
Hujui waliomfanya Khashogy wanafanya nini kwa sasa!
[emoji23][emoji23][emoji23] Utapata taabu sana, huyu hatoki yaani..

Khashogy hana tofauti na huyu Kabendera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…