The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo hiyo.
Hongera sana Mh. Tundu A. Lissu. Binafsi nakutakia kila la kheri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna muda yakupasa utumie akili zako binafsiBaada ya kumtumia mabeberu yameamua kumpoza mwenzao.. To hell Lisu msaliti
Kwahiyo CHADEMA imenufaikaje hapo?Lisu anastahili hiyo heshima.
Hizi ndio degree za St Augustine na MzumbeMwambieni atazoa 'Tuzo' sana tu za hao 'Mabeberu' wake wanaomtuma ila Tanzania 'Rais' ni Dk. Magufuli na Chama Tawala ni cha 'CCM' tu pekee.
Kwahiyo Chadema imenufaikaje hapo?
Kwa kufungua kesi ICC! Ahahahahahahahah!!!Ulitaka inufaike vipi?
Kwa kufungua kesi ICC! Ahahahahahahahah!!!
Msaliti wa niniBaada ya kumtumia mabeberu yameamua kumpoza mwenzao.. To hell Lisu msaliti
Ni kweli wanacheza na akili hata za kwakoWazungu wanajua kucheza na akili za wajinga! Wahenga walisema, ''wajinga ndio waliwao''.
Si Robert Amsterdam na wenzake ndio wandaaji? Au hujui hilo?Ina uhusiano gani na hiyo tuzo?