Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Alisikika mlevi mmoja akiropoka.Lissu alikuwa akishindana na Jiwe.
Kama Jiwe Magufuli angeliruhusu a Free&Fair election 2020 nina hakika hilo jopo la IDU na ADU lingempa ushindi huo.
Endeleeni kuropoka hivyo hivyo mpaka 2025 iwakutane.
Wenzenu wana uongozi hadi nyumba 10 ninyi hata baadhi ya Wilaya hakuna uongozi wa chama halafu mnaota ushindi? Hivi kwa akili yenu hiyo FREE AND FAIR ELECTION itawabeba ninyi pekee na huo ushabiki wenu wa mitandaoni.