Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Povu linakutoka dada[emoji23][emoji23][emoji23] #Niyeye karudi kwa mabwana zake yeye alisema akishinda atawapa wazungu rasilimali zote, sisi tulisema tukishinda tutaendelea kuwatumikisha wazungu kwenye miradi yetu na tunawaendesha kweli kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamuendesha nani hata boda boda unayopanda taa yake imetengenezwa na beberu, non-sense...
 
Hahahaa, eti laki 7 nanusu, ukipata muda njoo kutembelea mradi wa bwawa la Mwalimu nyerere uone tunavyo watumikisha mafarao na wazungu, pia huenda ukapata bahati ya kuangaza salary slip za ma engineer wa hapa huenda macho utaelewa.
Eti unawatumikisha, huelewi chochote inaoneka ww, ndo vijana wa CCM hao, wanawatumikisha wazungu eti kwenye bwawa la umeme la Mwl Nyerere, Silly!
 
Izo tuzo ni kama za harmonize [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Atashinda zote hizo Ila Uraisi wa Taifa linaitwa Tanzania, asahau!!
Tanzania siyo kisiwa cha Giningi!!!
Makaburu wa Sauzi walikuwa wakitamba kwa lugha za kishenx kama hizi lakini leo wako wapi??? You must think twice bro. before uttering thy non-sense and lunatic ideas. Shame on you.
 
Alikuwa anashindania na nani?

Kamshinda nani?...
Lissu alikuwa akishindana na Jiwe.
Kama Jiwe Magufuli angeliruhusu a Free&Fair election 2020 nina hakika hilo jopo la IDU na ADU lingempa ushindi huo.
 
Lissu alikuwa akishindana na Jiwe.
Kama Jiwe Magufuli angeliruhusu a Free&Fair election 2020 nina hakika hilo jopo la IDU na ADU lingempa ushindi huo.

Tuzo zote zikiwamo za Nobeli hushindanishwa wengi hadi mmoja anaposhinda.

Haya si mashindano ya Gombesugu jombi.
 
Watampa hata Nobel peace prize huyu [emoji849]
 
Back
Top Bottom