Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
The award has nothing to do with us as Tanzanians; that is his personal achievement to lure his masters which he needs to transform into practice at Ikungi and blind spectators.View attachment 1646533
Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu...
Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo hiyo...
Hongera sana Mh. Tundu A. Lissu. Binafsi nakutakia kila la kheri...
View attachment 1646534
Wananchi hawataki pesa zao za walipa kodi zitumike kiharamu kumnunua Dereva amgeuke Lisu afundishwe propaganda haramu za kishetani atengeneze story feki kuwahadaa watanzania, wananchi wamechoka pesa zao kutumika kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa wanataka maendeleo, hii pesa inayotumika kuwanunua wapinzani kulazimisha CCM kupendwa kwa gharama kubwa hawataki, habari za Dereva wa Lisu acha kupoteza mda wananchi wana Akili kuliko wewe unayedhani hiyo ni hoja wakati siyo hoja kabsa
Okey hiyo award itaisaidia vipi wananchi was kawaida katika uchumi wao kwa ujumla, ikiwemo madawa hospitalini na madawati shuleni...Kama tuzo hiyo haina connection na jamii humu umeileta ya Nini..maana hayo mambo ni yake binafsi..sisi watanzania Wala hatuna haja ya kusikiliza story zozote za kisanii sanii..aendelee kuishi na usanii wake kule na Amsterdam wake na wazungu wake waliompa uraia wa ukimbizi...
Hehehe! ndio Mkuu napata ya Msumbiji hapaBado unavuta Bangi gheto?
Siamini kama nilichosoma umeandika wewe Genta! Wakiandika Jingalao, Etwege and the like sawa lakini si wewe Genta. Aibu gani hii bajameni? UD ni jalala(P.Kabudi, B. Ali), Mzumbe( NW madini) na sasa SAU( H. Abbas na wewe) Kunya aibu chooni. Irreversible. MTU akikosa aibu anabaki tu binadamu. Bin Adam ni mnyama kama mnyama mwingine yeyote. Inatisha. Genta kama Jmc06, Nazgur! Unatafuta nini wewe, authority katika Bahima Empire?Mwambieni atazoa 'Tuzo' sana tu za hao 'Mabeberu' wake wanaomtuma ila Tanzania 'Rais' ni Dk. Magufuli na Chama Tawala ni cha 'CCM' tu pekee.
Hembu acha kutukana, kujimwambafy na kutisha watu we jamaa.Walaumu 'waliokuzaa' kwanini 'walikuzaa' na 'Upumbavu' ulionao na sasa 'unatuchukia' ambao Mwenyezi Mungu 'alitubariki' na 'Akili' Kubwa sana.
Gentamycin ni jina la antibiotics ambayo ipo effective zaid kwa gram positive bacteria, na dawa hiyo imegundulika na mabeberu ambao unawaponda hapa lakin jina lao unatumia, jiite mwinyimkuu, jiite mwanamalund, jiite kimweri n.k, hapo ndo aliposema mrisho mpoto "kilichopo moyoni huponzwa na ulimi"Sijawahi Kuulizwa au Kukutana na Swali la 'Kipumbavu / Kipopoma' tokea nijiunge hapa JamiiForums kama hili lako. Limenifanya 'nikudharau' sana.
Makanikia yetu yanatutojea puani......WanaJamiiForums tuifahamu kwa undani HISTORIA YA TUZO YA BUSH - THATCHER AWARD na heshima yake iliyotukuka kwa ulimwengu wa wapigania Uhuru, Haki na Demokrasia duniani kote.
The IDU, the world’s global alliance of the centre-right, is pleased to announce the creation of the Bush-Thatcher Award for Freedom as the IDU’s highest honour.
This award bears the name of two of the IDU’s principal founders, both historic leaders of their time, whose legacies embody the IDU’s core mission of supporting freedom and democracy globally: President George H.W. Bush and Prime Minister Margaret Thatcher.
President Bush and Prime Minister Thatcher led the creation of the IDU in 1983 and were signatories to the London Declaration, the document that brought the IDU into existence.
The IDU’s Bush-Thatcher Award for Freedom recognizes outstanding contributions made by an IDU member-party or individual towards advancing the core values for which the IDU stands; freedom, democracy, human rights and the rule of law.
The IDU is deeply grateful to the custodians of President Bush and Prime Minister Thatcher’s legacies for their collaboration in establishing this honour.
Source : IDU Awards Inaugural Bush-Thatcher Award for Freedom | International Democrat Union
Wewe nadhani si mzanaki kama unavyojinadi, mbona wakati mwingine unakuwa vizuri tu.Mwambieni atazoa 'Tuzo' sana tu za hao 'Mabeberu' wake wanaomtuma ila Tanzania 'Rais' ni Dk. Magufuli na Chama Tawala ni cha 'CCM' tu pekee.
Ila mkuu wa kaya anaifanya ni uaduiNi jambo jema!
Siasa siyo uadui!
Huyo jamaa ana jiita Gentamycine ni empty kabisa upstair, anahitaji ushauri wa kisaikolojia apone tatizo lake la hallucinationWe jamaa mbona unajiona mjuaji Sanaa. Since tunakuona kilaza tu na ushamba mwingiii.
Hongera Belgium kwa kupata tuzo...huyo ni mbelgiji sasa inatusaidia nini sisi tuzo yake?
Kweli sasa nimeamini ulizaliwa kijiji cha Katerero ulipopita mto Ngono! Wewe bin Adam unatumia bandama kufikiri? Tanzania kuna vi-wonder lakini leo wewe na Genta ni vituko kakake vi-wonder!!!Hongera Belgium kwa kupata tuzo...huyo ni mbelgiji sasa inatusaidia nini sisi tuzo yake?
Unaikumbuka hii award aliyopewa JPM mwaka huu? ikiitwa Top Tanzania Assemblies of God Award-2020hako ka NGO kalikompa tuzo ni ka uchochoroni tu Africa wanachama ni CHadema,chama tawala cha GHANA na Nambia kachama ka upinzani
Kifupi ni wanachama wanampa mwanachama mwenzao tuzo ni kama Chadema imkabidhi Lisu tuzo!!!!!
ANyway apaate tuzo zote atakazo kama zinamsaidia ku steam out frustration zake za kukosa uraisi it is ok
Atapata tuzo zoteeeee ila uraisi Tanzania hapati
Mh,CCM hatuna 'Wendawazimu' na 'Mashoga' kama Wewe tafadhali. Ukiona hadi GENTAMYCINE naipenda CCM jua hata Mwenyezi Mungu anakipenda.
Hakuna mzanaki mwenye lugha za mtaani namna hiyo, usituharibie sifa ya kabila letu mkuu. Chukua muda wako vizuri uijue asili yako.Walaumu 'waliokuzaa' kwanini 'walikuzaa' na 'Upumbavu' ulionao na sasa 'unatuchukia' ambao Mwenyezi Mungu 'alitubariki' na 'Akili' Kubwa sana.
Rubbish expected from an idiot, imbecile, nincompoop, uncouth, uncivilized, uncultured and uneducated fool of all fools like you!What IDU pretend to ignore is the underlying facts that even within Chadema as a party, there is no signs of democracy, or anything closer to it. Their Supreme Chairperson is like a monarchy. He has been there for decades.
And any attempt to unseat him democratically has seen the pioneers being met with imminent death threats, expulsion, or forced refuge. Chacha Wangwe, Zito Kabwe, Mwambe, and Sumaye are some but a few examples.
Fortunately most Tanzanian are now aware of their political and social needs and who are in a superior position to support them to success. And they equally aware of threats and mischievous ambitions of some foreign countries, whose are bent to impose in our midst a lustful puppet as a leader of their choice, who will then be used as conduit of our natural resources' plunder.
But fortunately, the people of the Republic of Tanzania have emphatically spoken, and without fear, or wavering, to that effect, during the October 28 General Elections.
Let Tanzanians embrace their own type of democracy and a rule of law, and accountability pertinent to their norms, culture, tradition and expectations.
Toka lini unakaimu nafasi ya Mungu?Eti Lissu anafaa kuwa rais? Tena rais wa nchi? Labda nchi ya kusadikika sio nchi iliyoko dunia hii iliyoumbwa na Mungu. Halafu eti kuna wananchi walimchagua. Mambo ya ulimwengu wa kusadikika hayo. Hao wananchi wangemchagua Lissu kwa lipi??? Kwa nza kwa wanaompenda Lissu wamshauri apunguze gharama zake kwa kumleta dereva wake wakati wa shambulizi ahojiwe na polisi ili ukweli juu ya lile shambulio ufahamike. Kwa wasiojitoa ufahamu bado wanahoji kwa nini gharama kubwa zitumike kumficha dereva. Ila kwa ambao wamejivua ufahamu wanasema sio issue kumweka dereva ughaibuni kwa gharama kubwa kisa tu ni ili asihojiwe na polisi wa Tanzania
Umepatia kwelikweli. 'alitubariki' hakuna baraka na 'akili' kuduhu. Leo umeamkaje wewe mjivuni aso haya bingwa wa matukano?Walaumu 'waliokuzaa' kwanini 'walikuzaa' na 'Upumbavu' ulionao na sasa 'unatuchukia' ambao Mwenyezi Mungu 'alitubariki' na 'Akili' Kubwa sana.