Ninashauri asichokonoe amani ya nchi kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza. Katiba imetoa uhuru wa watu kujieleza ila haijasema kitu kuhusu uhuru wa baada ya kujieleza.
View attachment 3299141
Awali Askari walikuwa wakizuia wafuasi kuingia kwenye chumba chama Mahakama baada ya kutokea kwa mabishano na baina ya baadhi ya wafuasi wa CHADEMA na Askari Polisi.