Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Hivi vitu hata Lissu akikabidhiwa Mamlaka mbona atavifanya tu,hata wewe unaweza,ni kiasi cha kukusanya kodi na kuandaa bajeti bungeni,so easy...hakuna cha ajabu hapo
Lissu ataviiuza vyote kwa Mabeberu asubuhi na Mapema,si unamuona alivyo vipania mpaka Kama anaweweseka hivi!!
 
Lisu ndio kawa kituko kabisa!

Huyu jamaa akikosa urais anaweza kuchanganyikiwa!
Yaani kapania,na anaona Kama muda hauwendi kabisa ndiyo maana anatangatanga Mara huku Mara kule!!
 
Habari njema kweli hii. Wananchi wameishajiandaa kwa ajili ya kesho kwenda kumuona Rais wao!
Uwanja wa Taifa leo umetapika
Live kampeni za Raisi Magufuli Dar es Salam leo uwanja wa taifa


 

is this the wasted sperm people are talking about or nmechanganya??
 
Uwanja wa Taifa leo umetapika
Live kampeni za Raisi Magufuli Dar es Salam leo uwanja wa taifa


Ratiba ya kampeni za Magufuli DSM imelazimishwa ili kuzima mtiti wa Lissu
 
Mawazo yako ya kipunguani na mfu
Kama unatawaliwa na lugha ya aina hiyo hakuna shaka hata kwenye familia, ndugu, majirani na marafiki hukushangaa. Ni dalili wewe unashinda kijiweni kunakotumika lugha ya aina hiyo. Hujachelewa kubadilika, la ulimwengu utakufunza.
 

Wewe nawe ni mjinga tu kama wajinga wengine...
What is "general political campaign" aliyopigwa marufuku kufanya?

Mtu kaenda zake sokoni kununua suruali yake ya mtumba, halafu wanamiminika wenyewe kumfuata kumsalimia na kupiga naye selfie wewe unaona taabu, una akili kweli....?

Kwani hao NEC katika "hukumu" yao waliweka utaratibu wa kumletea mahitaji yake ya kila siku ndani? Na kwani walimfunga kifungo cha kukaa ndani?

Wewe ukienda zako dukani au Manzese kununua zako mitumba ya mkeo na watoto wako kuna mtu anajali kwani....?

It's impossible kumfungia mtu njia zote za kufanya kampeni unless umemfunga gerezani katika chumba cha peke yake kama gaidi au mhaini hatari..!!!!

Ukinifungia mikutano, nitakutana na watu kwenye magrupu ya social medias i.e WhatsApp, FB, Instagram nk na tutapiga story na jamaa zangu za kuhusu uchaguzi...!

Ukinipiga marufuku mikutano yangu ya kampeni, nitakutana na watu kwenye shughuli za kijamii na tutapiga nao story za uchaguzi bila taabu....!

The best way kumzuia mtu huyu ni aidha kumfunga gerezani au pigeni risasi 100 safari hii au waambie NEC waondoe picha yake kwenye ballot papers, baasi tuone kama mtaimaliza kazi....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…