Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
[emoji3][emoji3][emoji3] Lissu ana mbinu nyingi sana, sijui kichwa chake kinawaza nini
Ana mbwembwe na akili ina IQ kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3] Lissu ana mbinu nyingi sana, sijui kichwa chake kinawaza nini
Ana mbwembwe na akili ina IQ kubwa
Lissu ni habari na habari ni Lissu.Aiseeh, kwenda mahemezi mpaka awe na camera man? Anajua bila camera anasahaulika!
Lissu ataviiuza vyote kwa Mabeberu asubuhi na Mapema,si unamuona alivyo vipania mpaka Kama anaweweseka hivi!!Hivi vitu hata Lissu akikabidhiwa Mamlaka mbona atavifanya tu,hata wewe unaweza,ni kiasi cha kukusanya kodi na kuandaa bajeti bungeni,so easy...hakuna cha ajabu hapo
tunasubiri tareh 28 atuonyeshe uwezo wake.
Ujumbe umefika!!...I am preaching, I can't reach you!
Yaani kapania,na anaona Kama muda hauwendi kabisa ndiyo maana anatangatanga Mara huku Mara kule!!Lisu ndio kawa kituko kabisa!
Huyu jamaa akikosa urais anaweza kuchanganyikiwa!
Lissu mgomnvimngovii na anapanic haraka sana,High Office haiwezi!!Kwa kweli Lissu anatufaa sana watanzania ni mtu jasiri na mpenda haki sana.
Sauti zilizosikika humo ni za wacheza ponoalafu kigoma watu wakawa hawana habari nae aiseView attachment 1594115
Uwanja wa Taifa leo umetapikaHabari njema kweli hii. Wananchi wameishajiandaa kwa ajili ya kesho kwenda kumuona Rais wao!
Tunaongelea kupuuzwa kwa TL na wanakigomaSauti zilizosikika humo ni za wacheza pono
Umechukua tabia za jiwe ukampa Lissu.Lissu mgomnvimngovii na anapanic haraka sana,High Office haiwezi!!
Mkuu BAK kama uko karibu naye, au wafuasi wake, mwambie/waambie nafasi anayegombea siyo ya Serikali za Mitaa. Anachofanya kwa sasa kuzunguka mitaani, pamoja na kuhatarisha maisha yake (kumbuka amekuwa akidai usalama wa maisha yake kwa jeshi la polisi na usalama wa taifa), ni kichekesho. Vijana wa mjini wanamwona kama kinyago vile.
HAKIKA LISSU ni mwanasiasa uchwara
Uwanja wa Taifa leo umetapika
Live kampeni za Raisi Magufuli Dar es Salam leo uwanja wa taifa
Kama unatawaliwa na lugha ya aina hiyo hakuna shaka hata kwenye familia, ndugu, majirani na marafiki hukushangaa. Ni dalili wewe unashinda kijiweni kunakotumika lugha ya aina hiyo. Hujachelewa kubadilika, la ulimwengu utakufunza.Mawazo yako ya kipunguani na mfu
Wamemchoka tu sio kwamba awajui tafsiri ya anachofanya ni political campaign.
Kama wangekuwa wana shida nae wanamuongezea adhabu kirahisi sana.
Hakuna cha akili yeyote zaidi ya kuendelea na ukaidi tangia amerudi.
Adhabu ipo wazi amezuiwa kufanya political campaign (general) sio kutokufanya mikutano tu (exclusive).