Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Lissu anawafundisha adabu NEC. Next time watatoa tafsiri sahihi ya maana ya “kumfungia mtu siku 7 kutopiga campaign”. Otherwise wataachana na huo ujinga wao
 
Mimi huwa Namhurumia kwa kweli, ila sio upande wa kura

Kwenye kura lazima tumchape ajutie kusaliti Nchi
Tatizo ni moja tu Bia yetu...

Wewe na Yehodaya na Jingalao mnajitahidi sana kuitetea CCM na Magufuli...

Kwa mbali yuko Elitwege na mwengeso japo hawako serious sana hawa maana wategea tegea sana kupandisha nyuzi za propaganda na kutoa "like" ili kumtia moyo mzee wa Chato...

For sure kabisa, wewe unajitahidi. Ni wazi kuwa hizo B7 za Polepole hapo mtaa wa Lumumba unazikusanya kuliko wenzako...

Hongera na pole sana kwa ZERO & FRUITLESS EFFORTS za kujiokoa na kumwokoa mzee wenu aliyekwisha kataliwa na umma pamoja Mungu kumyima kibali kabisa....!
 
bado kuchinja ng'ombe na wagogo mazizini.
Na kwenda kunywa madafu.
JamiiForums723674951_720x402.jpg
 
Yaani huyu mdude ni wa kuhurumia, yaani ananunua mitumba toka kwa mabeberu? Dah ama kweli ni kichapo tu bila huruma
 
Ingawa Mimi ni mwana CCM ila haipendezi kwa mwenyekiti wa Chama Kujitenga na kampeni za Mgombea Urais kwa kupitia chama chake,

Haipendezi hata kidogo.
 
Ingawa Mimi ni mwana CCM ila haipendezi kwa mwenyekiti wa Chama Kujitenga na kampeni za Mgombea Urais kwa kupitia chama chake,

Haipendezi hata kidogo.
 
Huyo bwana anatia huruma

Ila sio huruma za kura[emoji3] kichapo kipo pale pale
Kuliko yule anaeboronga lugha aliyoitumia kujifunzia o level- phd acha utani we bia😂😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu BAK kama uko karibu naye, au wafuasi wake, mwambie/waambie nafasi anayegombea siyo ya Serikali za Mitaa. Anachofanya kwa sasa kuzunguka mitaani, pamoja na kuhatarisha maisha yake (kumbuka amekuwa akidai usalama wa maisha yake kwa jeshi la polisi na usalama wa taifa), ni kichekesho. Vijana wa mjini wanamwona kama kinyago vile.

HAKIKA LISSU ni mwanasiasa uchwara
✌✌✌✌✌✌✌✌✌👊👊👊👊
 
Mkuu, tuungane kuukataa huu utawala wa WATEKA NYARA. Uhuru na Demokrasia ni lazima vitamalaki baada ya Oktoba 28.
Nakubali kabisa kiongozi kujilimbikizia madaraka.

Ukweli unajidhihirisha sasa. Wakati CCM inaonesha ni Taasisi ikifanyiwa kampeni na viongozi wake wa Kamati Kuu, Wabunge wateule, Madiwani wateule, na vikundi/maakundi ya jamii (Taasisi zisizo za kiserikali, watumishi wa Mungu, wasanii), CHADEMA, chama kikuu cha upinzani (kwa sasa), kila mgombea kivyake!
 
Back
Top Bottom