zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,068
hifanyi au hifadhi! We jamaa wewe si unaona mpaka unachapia, nyomi linakujambisha hadi kwenye keyboardTuwe na hifanyi ya maneno wakuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hifanyi au hifadhi! We jamaa wewe si unaona mpaka unachapia, nyomi linakujambisha hadi kwenye keyboardTuwe na hifanyi ya maneno wakuu.
wakamyima au wakamnyima! Yaani watu mnaharisha sasa hivi.Lowassa alidekiwa barabara huko na kura wakamyima.
Tuache wivu wa kijinga na kipuuzi kaka Lissu anapendwa na watanzania!Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama.
Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!
View attachment 1535361
View attachment 1535464
Hawa mashabiki hv hawaendagi kupiga kuraLowassa alidekiwa barabara huko na kura wakamyima.
Hawa vipuyuyu wa chini hawajui kilichotokea 2015, wao wanafikiri Magu alishinda uchaguzi, hawajui kilichomo nyuma ya pazia mzee mzima nafsi inamsuta kushikilia wadhifa usiokuwa wake, kupora urais wa mwenzake, alivyosoma upepo akaja na strategy ya kuukandamiza upinzani ili ya 2015 yasije kutokea 2020, hata hivyo haijasaidia kitu na ndio kwanza moto umepaliliwa makaa, watanzania wanaonesha dhahiri matumaini yao yapo kwa LissuMkuu haya maneno Magu hawezi akayaongea,anajua what happened
Wanaendaga mkuu, sema 'yule mwovu' anayabadilisha😡Hawa mashabiki hv hawaendagi kupiga kura
Ati tume ya uchaguzi haiulizwi wala kuchunguzwa kwa jambo lolote lile utafikiri imejaa 'superhumans' au 'malaika'!Wanaendaga mkuu, sema 'yule mwovu' anayabadilisha😡
Nakubaliana na wewe kwamba watanzania wa leo sio wajinga. Ni kweli pia kwamba yake mema anayofanya mtu ndio yanayompaisha kisiasa.Mimi niwapongeze Kwa KAZI mnayoifanya. Ila Watanzania wa Leo siyo wajinga. Narudia wapiga kura siyo wajinga. Akituambia Jimboni Kwakwe amefanya nini basi nitasubiri.
Fanyeni mbwembwe zenu na huyo kichaa wenu, tukutane tarehe 28 Octoba. Ngoja nikiweke sawa kichinjio changuTutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama.
Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!
View attachment 1535361
View attachment 1535464
Mbona kama unawafokea?
Halafu huyo ndio anamuita Lissu much know huku yeye hajui hata tafsiri ya sehemu aliyo quote hapo juu kutetea hoja yake.Nimekuuliza kuhusu sheria, kanuni, mwongozo n.k. kuhusu utafutaji wa wadhamini. Kumbuka hawa mpaka sasa wamepitishwa tu na vyama vyao lakini hawajateuliwa rasmi kugombea. Kampeni zitaanza baada ya kurudisha fomu na kupitishwa na tume. Hiyo nukuu yako ni sheria/kanuni za kampeni ambazo zitaanza tarehe 26/10/2020 kama sijakosea.
naunga mkona maana tumeona kuanzia enzi za jk so kweli mdau alete iyo sheriaKwa hiyoo sheria/kanuni/mwongozo unasema mhusika awatafute wadhamini kimya kimya! Kilatha, kwa miaka mitano vyama vyote isipokuwa CCM vimezuiwa kufanya mikutano ya hadhara, je ndivyo Katiba inavyotaka na ndivyo Mwenyekiti wa CCM alivyotaka. Sheria zilizopo zinavunjwa wazi wazi uko kimya lakini huoni haya kulilia kuvunjwa kwa sheria ambayo haipo. Hakuna sheria inayowataka wagombea kuwatafuta wadhamini kimya kimya na kama ipo nakuomba uilete hapa.
Nani huyo, Nabii Yesu au Yehova. Mnamtuza kama Mungu wa Walokole!Mkuu hivi nawe ulikuwepo uwanjani?..
Hakika sifa na utukufu vimrudie Mungu...kwa macho yangu nmemuona na nimemsikikiza live akizungumza...
Kwa kweli tumempokea vyema sana...na bado tunamngoja kipindi cha kampeni...
#NI YEYE, NIMEMUONA#