Uchaguzi 2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

Uchaguzi 2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

Mmezoea vya kunyonga. Chaguzi za marudio mmepora mpaka baaas. Uchaguzi wa serekali za mitaa mkajimegea kwa raha zenu. Hamnaga uzoefu wa uchaguzi huru na wa haki alioahidi Magu kwa dunia nzima
Let me tell you! The reality sounds bitter!
 
Meko atakufa kwa pressure mwaka huu.

Anajuta sana kwanini aliwaziba wenzie midomo kwenye masuala ya kisiasa kwa miaka minne na nusu.

Alipokuwa anatamba peke yake alidhani watanzania wanampenda kumbe alikuwa anajidanganya.

Ona sasa mgombea wa CHADEMA anavyopokelewa kifalme kila apitapo.
Aisee huu msafara nlipishana na hapa gachima ni hatari sana
 
Jamaa mmoja alikuja Mara kwa vitisho. Ni miaka mingi kuona ndege za kivita ila siku hiyo vilipita kama 3 hivi kututia hofu. Wananchi tumejipanga tusisahau kwa hii miaka 5
 
Mmezoea vya kunyonga. Chaguzi za marudio mmepora mpaka baaas. Uchaguzi wa serekali za mitaa mkajimegea kwa raha zenu. Hamnaga uzoefu wa uchaguzi huru na wa haki alioahidi Magu kwa dunia nzima
October sio mbali, mungu atupe uzima na afya, tunaona kama hizi mbio zenu za sakafuni, zitaishia ukingoni. Nyie bado mnalialia na kupiga kelele za kijinga Peoples, huku watu weshamaliza mikakati yao, na wamo kwenye majaribio na kuzidi kujijenga kwa ushindi wa kishindo.
 
Duh [emoji134]‍♀️. Sijawahi kuona mwanasiasa anapendwa kiasi hiki. Mungu ni Mkubwa sana kwa kweli.
 
Duh [emoji134]‍[emoji3601]. Sijawahi kuona mwanasiasa anapendwa kiasi hiki. Mungu ni Mkubwa sana kwa kweli.
Apana, watu wengi wanataka kumuona aliyepigwa risasi 16 na akapona, ni sawa kama mtu angekuwa na mikono minne, umati mwingi ungejitokeza
 
Kuna muda wa uchaguzi na muda wa campaign.

Uchaguzi unapoisha mshindi akipatikana mambo ya siasa za kuitana barabarani unakwama mpaka campaign zijazo ndio ilivyo sio Tanzania duniani kote.

Kwa kipindi icho cha kazi raisi kukutana na watu anaowatumikia either kwa kufungua miradi au akiamua kusimamia njiani anapokuwa safarni kutatua kero zao all is within his duties.

Nchi inayoruhusu vyama vya siasa kuishi kama msimu wa campaign muda wote labda inatafuta anarchy; hakuna anaefanya ivyo duniani kama kuna nchi ipo ‘I dare you’ itaje.
Napale Rais anapopita na msafara na kuwaambia mlikosea kuchagua Mb mpinzani imekaje?
 
Apana, watu wengi wanataka kumuona aliyepigwa risasi 16 na akapona, ni sawa kama mtu angekuwa na mikono minne, umati mwingi ungejitokeza
Magufuli watamuona kwa kipi? Wanamuangalia mtu aliyepigwa risasi 16 akapona kisha wanamsujudia Mungu kwa ukuu wake. Hayo maombi omba sana Mungu asije akakasirika siku moja! Nasema omba sana!
 
Napale Rais anapopita na msafara na kuwaambia mlikosea kuchagua Mb mpinzani imekaje?
Huyu ndugu bana amefunga ubongo kweli kweli.

Mara ngapi wana ccm kwa nafasi zao waliwadhihaki chadema. Mbunge Msukuma alisema TAL angekuwepo angeenda kumkagua makalio (hakutumia tafsida) kama ni mzima. Hili analizungumziaje?

Hii na hiyo sheria ya kutafuta wadhamini anayadai imekiukwa ipi inatweza utu?

Hii ni mojawapo tu zipo nyingi.
 
Hii style ya Mhe. Tundu Lissu ya kuchomoza nje ya gari inanitia mashaka kama haijatathminiwa vya kutosha.

Msitufokee sisi tupo kimya tunawachora tu na mbwembwe zenu,tunakuja kuliungurumisha!
 
Back
Top Bottom