Kuna muda wa uchaguzi na muda wa campaign.
Uchaguzi unapoisha mshindi akipatikana mambo ya siasa za kuitana barabarani unakwama mpaka campaign zijazo ndio ilivyo sio Tanzania duniani kote.
Kwa kipindi icho cha kazi raisi kukutana na watu anaowatumikia either kwa kufungua miradi au akiamua kusimamia njiani anapokuwa safarni kutatua kero zao all is within his duties.
Nchi inayoruhusu vyama vya siasa kuishi kama msimu wa campaign muda wote labda inatafuta anarchy; hakuna anaefanya ivyo duniani kama kuna nchi ipo ‘I dare you’ itaje.