Uchaguzi 2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

Tuache wivu wa kijinga na kipuuzi kaka Lissu anapendwa na watanzania!
Nahisi hata mama Jesca anatamani angeolewa na huyu mwamba japo apate mbegu tu
 
Mkuu haya maneno Magu hawezi akayaongea,anajua what happened
Hawa vipuyuyu wa chini hawajui kilichotokea 2015, wao wanafikiri Magu alishinda uchaguzi, hawajui kilichomo nyuma ya pazia mzee mzima nafsi inamsuta kushikilia wadhifa usiokuwa wake, kupora urais wa mwenzake, alivyosoma upepo akaja na strategy ya kuukandamiza upinzani ili ya 2015 yasije kutokea 2020, hata hivyo haijasaidia kitu na ndio kwanza moto umepaliliwa makaa, watanzania wanaonesha dhahiri matumaini yao yapo kwa Lissu
 
ccm sasa hawana cha; mr maembe, pro-pesa pumba, hashimu a.k.a. (mzee wa kubet) hasira zao na vita vyao ni kwa Kamanda Lissu! hahahahaaaa! mtahangaika sana!
 
Mimi niwapongeze Kwa KAZI mnayoifanya. Ila Watanzania wa Leo siyo wajinga. Narudia wapiga kura siyo wajinga. Akituambia Jimboni Kwakwe amefanya nini basi nitasubiri.
Nakubaliana na wewe kwamba watanzania wa leo sio wajinga. Ni kweli pia kwamba yake mema anayofanya mtu ndio yanayompaisha kisiasa.

Ni kweli pia kwamba Magufuli kafanya mengi na yanaonekana, na ni mazuri.

Lakini yapo maswali kadhaa. Swali la kwanza, je Magufuli mwenyewe anajua ukweli huu? Napata mashaka, jinsi anavyotumia nguvu nyingi kuwabana wapinzani wake. Ni kama vile hajui kwamba kafanya mengi ambayo yatampa ushindi. Nguvu za kibabe za dola, rushwa kuwaghilibu wapinzani "waunge mkono juhudi", na wizi na uporaji wa moja kwa moja katika chaguzi za marudio na uchaguzi wa serekali za mitaa, hali hii inatia shaka kama kweli Magufuli "anajitambua", au pengine anajua fika kwamba kuna mabaya mengi kayafanya ambayo yanamtia hofu.

Kumbuka watanzania siyo wajinga.

Magufulinomics imeondoa fedha kwenye mzunguko, na kufanya maisha yawe magumu sana. Kudharau kilimo imesababisha watanzania walio wengi kuendelea kusota katika lindi la ufukara.
Kutowaamini wakandarasi wazawa na wafanyabiashara, imesababisha kazi nyingi kurundikwa kwa wageni.

Mkakati wa Magu wa kudharau rasilimali watu imesababisha maafa katika sekta nzima ya utumishi wa umma, kufeli kwa jitihada zake katika sekta nyingi.
Mfano katika sekta ya afya, badala ya kuanza na uboreshaji kwa watoa huduma, yeye kaanza na majengo na vifaa, kiasi. Katika sekta ya elimu, alijikita kwenye madawati na majengo, wakati maslahi ya walimu, ajira mpya, zikikwama.

Mimi naamini Magufuli anayajua haya yote, na anajua kwamba akiacha yajadiliwe hadharani na kwa uhuru, ataadhibiwa kwenye sanduku la kura. Siamini kama Magufuli yupo tayari kwa uchaguzi huru na wa haki
 
Fanyeni mbwembwe zenu na huyo kichaa wenu, tukutane tarehe 28 Octoba. Ngoja nikiweke sawa kichinjio changu
 
Halafu huyo ndio anamuita Lissu much know huku yeye hajui hata tafsiri ya sehemu aliyo quote hapo juu kutetea hoja yake.
 
naunga mkona maana tumeona kuanzia enzi za jk so kweli mdau alete iyo sheria
 
Mkuu hivi nawe ulikuwepo uwanjani?..
Hakika sifa na utukufu vimrudie Mungu...kwa macho yangu nmemuona na nimemsikikiza live akizungumza...

Kwa kweli tumempokea vyema sana...na bado tunamngoja kipindi cha kampeni...

#NI YEYE, NIMEMUONA#
Nani huyo, Nabii Yesu au Yehova. Mnamtuza kama Mungu wa Walokole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…