kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Polisi wahifadhi kwanza hayo mabomu....muda bado mbona. Hiyo ni rasharasha tu Wananchi wameamua!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyomi la Nyamongo baada ya salamu za mgombea Tundu Lissu , latambaa barabarani kwa furaha licha ya kupigwa mabomu na kuendelea kuusindikiza msafara wa CHADEMA pamoja na wagombea wa Urais, ubunge na udiwani leo
[SUB][/SUB]
Duu! Aina ya kufikiri kwako kunatataniusha!"Tumepata taarifa Huko Nyamongo kuna wananchi wamechukizwa sana na kitendo cha kupigwa mabomu wanasema mgombea wa Chama Cha Mbowe amewaletea fujo wakati mgombea wetu analeta maendeleo na anaomba kura kwa unyenyekevu"
-Hungry Mpole Mpole
Bola ndio kidudu gani?Lissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Uwezi kunipangia cha kuhandika wewe. Nahandika nnachojisikia lohoni mwangu.Bola ndio kidudu gani?
Yaani hata kuandika hamjui nyie vidukulilo wa CCM. Mmekuwa vilaza kama kiongozi wenu asiyejua lugha yoyote zaidi ya Kisukuma.
Kiswahili chako kizuri bibie!Uwezi kunipangia cha kuhandika wewe. Nahandika nnachojisikia lohoni mwangu.
Ficha kidogo ujingaLissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
We mbona ufichiFicha kidogo ujinga
Jifunze kuandika kwanza halafu ndio uanze kujadili watu wenye alikiLissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Utajua hujui panua mkwaju wajaLissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Kakojoe ulale.Lissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
"Aliki" ndiyo nini wewe unayejua kuandika?Jifunze kuandika kwanza halafu ndio uanze kujadili watu wenye aliki
Unaiaibisha ArsLissu afiki popote. Bola angegombea udiwani
Sheria zipi hizo asizojua Lissu?Usipofata sheria utapigwa tuuu
Kanasema pia Bola...Acha kuonyesha UPUMBAVU wako hadharani . Afiki ndiyo upuuzi gani? [emoji15]
Kanasema pia Bola...
Eti hao ndiyo ccm...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwezi kunipangia cha kuhandika wewe. Nahandika nnachojisikia lohoni mwangu.