Uchaguzi 2020 VIDEO: Tundu Lissu akiwasalimu watu wa Nyamongo akiwa njiani kuelekea Serengeti. Ni baada ya kupigwa mabomu

Uchaguzi 2020 VIDEO: Tundu Lissu akiwasalimu watu wa Nyamongo akiwa njiani kuelekea Serengeti. Ni baada ya kupigwa mabomu

Polisi wahifadhi kwanza hayo mabomu....muda bado mbona. Hiyo ni rasharasha tu Wananchi wameamua!!
 
Nyomi la Nyamongo baada ya salamu za mgombea Tundu Lissu , latambaa barabarani kwa furaha licha ya kupigwa mabomu na kuendelea kuusindikiza msafara wa CHADEMA pamoja na wagombea wa Urais, ubunge na udiwani leo
[SUB][/SUB]

Duh kweli Lissu anatisha kwa Ccm hii ni kiama.
 
Duu1 A
"Tumepata taarifa Huko Nyamongo kuna wananchi wamechukizwa sana na kitendo cha kupigwa mabomu wanasema mgombea wa Chama Cha Mbowe amewaletea fujo wakati mgombea wetu analeta maendeleo na anaomba kura kwa unyenyekevu"
-Hungry Mpole Mpole
Duu! Aina ya kufikiri kwako kunatataniusha!
 
Bola ndio kidudu gani?
Yaani hata kuandika hamjui nyie vidukulilo wa CCM. Mmekuwa vilaza kama kiongozi wenu asiyejua lugha yoyote zaidi ya Kisukuma.
Uwezi kunipangia cha kuhandika wewe. Nahandika nnachojisikia lohoni mwangu.
 
Hawajiulizi walimpiga risasi 16 mwilini nabado ndiyo Kwanza anachanja mbuga
 
Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga.
 
Uwezi kunipangia cha kuhandika wewe. Nahandika nnachojisikia lohoni mwangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli ccm mko na tatizo la msingi, kwamba lohoni mwako[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Twaweza walikuwa sahihi kuhusu wanachama wa ccm

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom