Video: Tundu Lissu alisema ukweli mchungu sana kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar. CCM walimshambulia vibaya, lakini waliufyata kwa hoja zake

Sidhani kama upande wa wenzetu ccm wanauwezo wa kujibu hoja za Lissu. Kwa hili walikuwa waungwana wakaufayta.
 
Huyu ndugu, ni mtu anayetafuta maarifa popote pale yanapopatikana....

Watu wa namna hawadandanyiki kwa sababu wanakuwa wanajua yote kama siyo kila kitu...!
Kwakweli Tunamhitaji awe Rais. Anajua kila kitu. Ana exposure ya kitaifa na kimataifa. Sio Mshamba wa mambo.

Zaidi anapenda Haki amani na utu.
 
Du! Huyu jamaa hoja imekaa kiushahidi.
Intact Muungano kwa nyakati za Mwl alikuwa na logic kwa mfumo aliouweka,ila sio kwa sasa
Tundu Lissu hajawahi kuniangusha. He has been always at highest level of intergrity.
 
Huko Lumumba fc haya ndio maisha yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha tukio la majuzi hapa mkuu waziri wa maliasiri na utalii ambaye ni mwanasheria anasema " ardhi ni Mali ya rais'" wabunge wa CCM wanagonga meza mara spika akatoa ufafanuzi "Ardhi ni Mali ya umma" wanagonga meza.sasa unajiuliza hawa watu ni mazwazwa kiasi gani?
 
Wa kusikitikiwa zaidi ni sisi tuliokubali kuongozwa na watu wa aina hiyo
 
Mi napenda sana uwezo wake wa kupambanua mambo as if hakusoma shule za hapa kwetu!Mungu akipenda ampe kibari Lissu siku moja aje awe Raisi wa nchi hii,may be tunaweza faidi uwezo alionao KWA upana zaidi
 
Kwa nini machogo bado mnang'ang'ania kubaki Zanzibar? Muungano mpya anautaka nani? Siyo Wazanzibari. Nyie machogo kama mnataka muungano mpya ongeeni na Kagame au Kenyatta au Museveni mpate muungano mpya.

#FreeZanzibar
 
🤣🤣🤣🤣🤣hamna kitu wale
 
Mi napenda sana uwezo wake wa kupambanua mambo as if hakusoma shule za hapa kwetu!Mungu akipenda ampe kibari Lissu siku moja aje awe Raisi wa nchi hii,may be tunaweza faidi uwezo alionao KWA upana zaidi
Nimejaribu angalau kuwa kama Lissu kuwa na akili nyingi na umakini. He is my role model so far.

Tunahutaji Rais mwenye uwezo mkubwa.

Amerika na Ulaya huchagua watu wenye uwezo mkubwa kwa akili na hekima.

Hapa Tunaye Ni Tundu Lissu.

Mungu aliyemponye alimwandalia jambo.
 
 

Hata mtupe Tanganyika yote hamwezi kulipia hata roho ya mtu mmoja ya mliowauwa 1964 na mnaoendelea kuuwa kila siku za uchafuzi / uchaguzi zinapofika, yaani tufaidi kwa kuuliwa ndugu zetu na kunajisiwa mama zetu na dada zetu huku mali zetu zikiporwa ? UNA AKILI KIJANA WEWE
 
Huyu mwamba huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…